Wewe ni mganga kutoka wapi vile mbona unaupiga mwingi kwenye ramli yakoZa ndaaani kabisa,
27/6 - 1/7: Kutangazwa kwa majina kwa ajili ya kufanya usaili.
4/7: Usaili kwa waombaji
11/7 - 15/7: Kutangazwa kwa majina yalipita kwenye usaili
18/7: Kuanza kwa semina.
16/8: Mwisho wa semina.
17/8 - 19/8: Vikao vya mwisho.
22/8: Kukusanya vifaa vya kazi
23/8: Kuanza kwa zoezi la sensa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mara pap mkeka huo halafu vigunge wa kupiga soga kwenye huu uzi tunapigwa za uso, uzi wanachukua mikoba wengine ambao hata hawajawahi kuripoti humu wakipeana updates za usahili , posho nk halafu wakulungwa tukichungulia uzi na kuupita kwa mbali [emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]
Kitaalamu haijakaa vyema hata kidogo 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio,yaani nimejiongeza tu kama watendaji wanahusika moja kwa moja kwenye uhakiki wa anuani za makazi pia wanahusika moja kwa moja na sensa katika uteuzi wa makarani wa sensa pia sensa inategemea anauni za makazi(yaani wewe karani ufika eneo husika unavuta taarifa then unahesabu watu haufanyi ukusanyaji wa data za makazi)Watendaji tena [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kama watendaji Wana teua makarani kwa nini tuliapply online?Ndio,yaani nimejiongeza tu kama watendaji wanahusika moja kwa moja kwenye uhakiki wa anuani za makazi pia wanahusika moja kwa moja na sensa katika uteuzi wa makarani wa sensa pia sensa inategemea anauni za makazi(yaani wewe karani ufika eneo husika unavuta taarifa then unahesabu watu haufanyi ukusanyaji wa data za makazi)
Wewe unaona imekaaje hii?
Hawataki kukosea kama kwenye post code,so this time kila mtu atafanya kaz kwenye mtaa wake.kwaiyo mtu pekee ambae anakujua wewe ni mtendaji wa mtaa ambae ana link na mwenyekiti wa mtaa.Sasa kama watendaji Wana teua makarani kwa nini tuliapply online?
But upo sahihi sensa inategemea zoezi la anuani za makazi
Sasa kuna Yale mabifu [emoji42]na watendaji itakuaje [emoji24]Hawataki kukosea kama kwenye post code,so this time kila mtu atafanya kaz kwenye mtaa wake.kwaiyo mtu pekee ambae anakujua wewe ni mtendaji wa mtaa ambae ana link na mwenyekiti wa mtaa.
Sasa afisa wa nbs au mtu kutoka halmashauri hawez kukujua wewe, ndio maana wao wanadeal na watu wa maudhui na tehama
Shida inaanza hapa Africa watu hawajui kutenganisha vitu personal na vya kazi,tunakunja sana yaaaniSasa kuna Yale mabifu [emoji42]na watendaji itakuaje [emoji24]
Source:Tandahimba newsZa ndaaani kabisa...
Kuna sarakasi zilichezwa kwenye kuchagua wataolifanya zoezi, maboss wa juu wakawaka, zoezi likaanza upya tena ndo maana hadi sasa kupo kimya. Kwa hiyo uvumilivu ndo dawa pekee kwa sasa.
Mbona kila siku unasikitika wewe tu tatizo nini ?Inasikitisha sana!
Kuna mpiga ramli hapo juu kasema ni tar 27 hadi tar 1 ijayo majina yatatoka..! Tar 27 tumeshakula imebaki tar 28 hadi tar1Za ndaaani kabisa...
Kuna sarakasi zilichezwa kwenye kuchagua wataolifanya zoezi, maboss wa juu wakawaka, zoezi likaanza upya tena ndo maana hadi sasa kupo kimya. Kwa hiyo uvumilivu ndo dawa pekee kwa sasa.
Bei gani wamewalipa KiongoziNiwaambie nimeitwa kufanya uhakiki wa anauni za makazi kwa jiji la ilala na watendaji wanahusika moja kwa moja.
Kama ndio ivyo basi tusubirie kidogo swala la sensa, nimethibitisha sensa inategemea anuani za makazi moja kwa moja
Kwa hiyo unabishana na Makinda?Msijichoshe semina ni siku 3 tu. Hizo siku 21 watu mnafundishwa nini cha ziada ??
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Hebu funguka inaonekana una vitu mhimu sana ndugu tupe mwangaNiwaambie nimeitwa kufanya uhakiki wa anauni za makazi kwa jiji la ilala na watendaji wanahusika moja kwa moja.
Kama ndio ivyo basi tusubirie kidogo swala la sensa, nimethibitisha sensa inategemea anuani za makazi moja kwa moja