Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Hawataki kukosea kama kwenye post code,so this time kila mtu atafanya kaz kwenye mtaa wake.kwaiyo mtu pekee ambae anakujua wewe ni mtendaji wa mtaa ambae ana link na mwenyekiti wa mtaa.
Sasa afisa wa nbs au mtu kutoka halmashauri hawez kukujua wewe, ndio maana wao wanadeal na watu wa maudhui na tehama
Sasa na mihuli yote hiyo waliyokuwa watugongea midole ngumba ile bado hawatuamini hii nchi ngumu sana
 
Kuna bwege ni mratibu elimu kata kasema nisipotoa elfu tano ya mwenge bas nisahau kuhusu mkeka wa sensa,

Wakuu Mimi Nina mpango wa kutokutoa hiyo hela, mwenye kujua Kama huyo bwege anaweza fanya mafekeche ikawa ndo bas tena anambie.

Kama akiweza bas NBS watakuwa na wao ni mafala kusumbua watu applications zote kupitia kwao.
Sikia mfate mtendaji wa mtaa wako ongea nae vizuri,mwambie yule fala ameni blackmail.
Wenye mamlaka kwenye kazi,za sensa,postcode,uchaguzi sijui na nyingine zenye mfanano huo watendaji wa mtaa na Kata ndio maboss
 
Kaeni kwa kutulia, sera ya huyu mama ni kila mtu ataonja usisahau na ile ya kula kwa urefu wa kamba. Waajiriwa (walimu) baadhi wataonja, Graduates nao baadhi wataonja bila kusahau ndg zetu wasiokuwa na fani pia watakuwemo, kikubwa ubahatike tu.

Yaani kwa nafasi zilizopo na maombi yaliyofanywa huwa wanapanga kabisa kila kundi wachukue idadi gani.
Mkuu zoezi la sensa lipo serious sana,huwez kumuweka mtu ambae hajawahi tumia kivaa chchte ambacho ni smart.
Kwani mfumo ulikua unamkubali mtu wa standard 7?
Ndio maana hawa laki 5 waliokamilika maombi wanachambuliwa kuna ile kanuna unavyobebwa unatakiwa ubebeke
 
Sikia mfate mtendaji wa mtaa wako ongea nae vizuri,mwambie yule fala ameni blackmail.
Wenye mamlaka kwenye kazi,za sensa,postcode,uchaguzi sijui na nyingine zenye mfanano huo watendaji wa mtaa na Kata ndio maboss
Hao watendaji wanaitaka hela ya mwenge kuliko hata huyo bwege Sema huyo bwege kazi yake ni kuikusanya hiyo hela halafu anawapelekea.
 
Nashanga mmepata watendaji wa namna gani?
Mm hata sitoi mia hapo serikali ya mtaa
Nilisha waambia mm jobless kwaiyo mnisaidiage tu hata kama hawapendi ila mazingira nimeyaweka ivyo.
Nishapeleka barua zangu pale Kunguru wa Manzese anaelewa makazi ya vyombo vya usalama yanataka barua hizo,hadi kesho no free boat
 
Mkuu zoezi la sensa lipo serious sana,huwez kumuweka mtu ambae hajawahi tumia kivaa chchte ambacho ni smart.
Kwani mfumo ulikua unamkubali mtu wa standard 7?
Ndio maana hawa laki 5 waliokamilika maombi wanachambuliwa kuna ile kanuna unavyobebwa unatakiwa ubebeke
Kuna form 4 na 6 mtaani hawa hawana fani na waliomba hizo nafasi na wana sifa na uwezo wa kuifanya hiyo kazi vyema.

Swala la kutumia smartphone usidhani ni kigezo kikubwa cha wewe kuwapiga gap wenzako, maana ulimwengu wa sasa hata mtoto wa std 3 anatumia vizuri tu.

So, kaa kwa kutulia mkuu.
 
Za ndaaani kabisa...
Kuna sarakasi zilichezwa kwenye kuchagua wataolifanya zoezi, maboss wa juu wakawaka, zoezi likaanza upya tena ndo maana hadi sasa kupo kimya. Kwa hiyo uvumilivu ndo dawa pekee kwa sasa.
Mkuu za nje kabisa zpoje
 
acha uzwazwa wewe semina wiki zote izo kwani wanaenda kuhesabu mishipa na maini ya watuu! labda ifanyike kwa groups kwasababu watu wengi, ila ile ya kura ilikuwa siku mbili tu
Mkuu tofautisha hvyo vitu viwili
 
Mkuu tofautisha hvyo vitu viwili
kipi special wanaelekezwa uko kichukue wiki tatu nzima kama si kufuja pesa za umma, kama vishkwambi vinakuja vipo na taarifa ni kujaza dodoso basi, inategemea dodoso linahitaji nini , ugumu wa hii kazi upo ktk kuwahesabu watu na sio kufundishwa wiki zote izo, tena nikuambie hawa makarani wao kazi yao ni kwenda kujaza taarifa tu kwamba nyumba namba flani ina watu wangapi me kiasi gani na ke kiasi gani,
walemavu, n.k kwaiyo kitakachofanyika

kutakuwapo na wenyeji wa mtaa husika watashirikana na mjumbe wa eneo husika kupita nyumba hadi nyumba kucolect idadi ya watu na kuleta kwa makarani ambao watajaza ktk platform then makarani wa kila mtaa watawasilisha taarifa kata zinachakatwa zinaenda wilaya mkoa nakuendelea

kwa uelewa wangu wa elimu ya uraia kwaiyo
uko baadae taarifa zinakuwa ktk mfumo Gps inakuwa inakupa taarifa kwamba mtaa flani ,mipaka yake, idadi ya watu eneo ilo na makazi nyumba idadi yake, kwaiyo mtu akifa lazima mjumbe apate taarifa then idadi ya uyo mtu iwe isolated mtu kazaliwa lazima mjumbe ajue ktk mtaa wake apate ushuru wa kumuingiza ktk idadi

kwaiyo itafika mahala kila mtu atataikiwa taarifa zake ziwe ktk GPS , mjumbe kushirikiana na vijana , kama namba ya NIDA UNayo ikijazwa taarifa ina display, au hauna nida basi unapigwa picha unaweka na fingerprint

kwaiyo taarifa zinakuwa hivi ukiingiza jina
inakuja mahali anapokaa. namba ya nyumba, picha yake, umri, kazi, au akiweka fingerprint. taarifa zinakuwa ktk mifumo ya serikali

sijajuwa kama ndo ivo au laaa, ila uko baadae inatakiwa mtu akitizama camera tu anajulikana huyu ni nani anaishi wapi je anakesi je anacv gani

kwaiyo ukipost kitu mitandaoni picha yako ikionekana wanajuwa wanakupata wapi au watakupata vipi
 
Inasikitisha sana
 
acha uzwazwa wewe semina wiki zote izo kwani wanaenda kuhesabu mishipa na maini ya watuu! labda ifanyike kwa groups kwasababu watu wengi, ila ile ya kura ilikuwa siku mbili tu
Wewe jamaa mbona upo against na semina siku 21?
Huu ni mfumo mpya tunaanza tumia plus semina sio mafunzo naona una changanya hapo mzee,hao wakufunzi wamekaa two weeks kwenye semina wewe unahisi sisi siku 21 haiwezekani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kipi special wanaelekezwa uko kichukue wiki tatu nzima kama si kufuja pesa za umma, kama vishkwambi vinakuja vipo na taarifa ni kujaza dodoso basi, inategemea dodoso linahitaji nini , ugumu wa hii kazi upo ktk kuwahesabu watu na sio kufundishwa wiki zote izo, tena nikuambie hawa makarani wao kazi yao ni kwenda kujaza taarifa tu kwamba nyumba namba flani ina watu wangapi me kiasi gani na ke kiasi gani,
walemavu, n.k kwaiyo kitakachofanyika

kutakuwapo na wenyeji wa mtaa husika watashirikana na mjumbe wa eneo husika kupita nyumba hadi nyumba kucolect idadi ya watu na kuleta kwa makarani ambao watajaza ktk platform then makarani wa kila mtaa watawasilisha taarifa kata zinachakatwa zinaenda wilaya mkoa nakuendelea

kwa uelewa wangu wa elimu ya uraia kwaiyo
uko baadae taarifa zinakuwa ktk mfumo Gps inakuwa inakupa taarifa kwamba mtaa flani ,mipaka yake, idadi ya watu eneo ilo na makazi nyumba idadi yake, kwaiyo mtu akifa lazima mjumbe apate taarifa then idadi ya uyo mtu iwe isolated mtu kazaliwa lazima mjumbe ajue ktk mtaa wake apate ushuru wa kumuingiza ktk idadi

kwaiyo itafika mahala kila mtu atataikiwa taarifa zake ziwe ktk GPS , mjumbe kushirikiana na vijana , kama namba ya NIDA UNayo ikijazwa taarifa ina display, au hauna nida basi unapigwa picha unaweka na fingerprint

kwaiyo taarifa zinakuwa hivi ukiingiza jina
inakuja mahali anapokaa. namba ya nyumba, picha yake, umri, kazi, au akiweka fingerprint. taarifa zinakuwa ktk mifumo ya serikali

sijajuwa kama ndo ivo au laaa, ila uko baadae inatakiwa mtu akitizama camera tu anajulikana huyu ni nani anaishi wapi je anakesi je anacv gani

kwaiyo ukipost kitu mitandaoni picha yako ikionekana wanajuwa wanakupata wapi au watakupata vipi
Upo sahihi sana, lakini kutembea mtaani kila nyumba sio kazi ndogo kama usemacho wewe hapo pia kukaa siku 21 pengine itatupunguzia ukali wa maisha vijana majobless usiseme kufuja pesa utakua unakosea hizo pesa wasipotupa sisi watakula tu wengine mpango miaka 10 kuna sponsors wameweka pesa unahisi wakisema wasitugee sisi vijana itaenda wapi?
Kama umeomba hii tutaona kulikua na umuhimu au la wa siku 21 za semina,napokua nilisikia kwa mbaaaaali zimekua siku 15.
 
Back
Top Bottom