kipi special wanaelekezwa uko kichukue wiki tatu nzima kama si kufuja pesa za umma, kama vishkwambi vinakuja vipo na taarifa ni kujaza dodoso basi, inategemea dodoso linahitaji nini , ugumu wa hii kazi upo ktk kuwahesabu watu na sio kufundishwa wiki zote izo, tena nikuambie hawa makarani wao kazi yao ni kwenda kujaza taarifa tu kwamba nyumba namba flani ina watu wangapi me kiasi gani na ke kiasi gani,
walemavu, n.k kwaiyo kitakachofanyika
kutakuwapo na wenyeji wa mtaa husika watashirikana na mjumbe wa eneo husika kupita nyumba hadi nyumba kucolect idadi ya watu na kuleta kwa makarani ambao watajaza ktk platform then makarani wa kila mtaa watawasilisha taarifa kata zinachakatwa zinaenda wilaya mkoa nakuendelea
kwa uelewa wangu wa elimu ya uraia kwaiyo
uko baadae taarifa zinakuwa ktk mfumo Gps inakuwa inakupa taarifa kwamba mtaa flani ,mipaka yake, idadi ya watu eneo ilo na makazi nyumba idadi yake, kwaiyo mtu akifa lazima mjumbe apate taarifa then idadi ya uyo mtu iwe isolated mtu kazaliwa lazima mjumbe ajue ktk mtaa wake apate ushuru wa kumuingiza ktk idadi
kwaiyo itafika mahala kila mtu atataikiwa taarifa zake ziwe ktk GPS , mjumbe kushirikiana na vijana , kama namba ya NIDA UNayo ikijazwa taarifa ina display, au hauna nida basi unapigwa picha unaweka na fingerprint
kwaiyo taarifa zinakuwa hivi ukiingiza jina
inakuja mahali anapokaa. namba ya nyumba, picha yake, umri, kazi, au akiweka fingerprint. taarifa zinakuwa ktk mifumo ya serikali
sijajuwa kama ndo ivo au laaa, ila uko baadae inatakiwa mtu akitizama camera tu anajulikana huyu ni nani anaishi wapi je anakesi je anacv gani
kwaiyo ukipost kitu mitandaoni picha yako ikionekana wanajuwa wanakupata wapi au watakupata vipi