Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Ukitoa jamaa huyu aliyesema tusi screenshot taarifa yake kuna mtu mmoja hapo juu juu kaandika kitu kama boss mmoja kutoka ngazi ya mkoa jana pale karimjee kwenye semina alivyoongea ,kama ni wewe boss nashukuru kujua uwepo wako hapa jukwaani.
 
Ukitoa jamaa huyu aliyesema tusi screenshot taarifa yake kuna mtu mmoja hapo juu juu kaandika kitu kama boss mmoja kutoka ngazi ya mooa jana pale karimjee kwenye semina alivyoongea ,kama ni wewe boss nashukuru kujua uwepo wako hapa jukwaani.
Hahaha ebu mtag
 
Kwa mamlaka waliyopewa Nbs kutengeneza recruitment portal watu wakaomba nafasi kilichofuata ni nbs kukabidhi uandaaji wa majina kwa Kamati ya wilaya.. Sasa nini kikechelewesha majina kutoka?! Mpaka sasa kamati ime delay kutoa majina na wameandikiwa barua jana,

Plus kuna hili litawashtua wengi, kuna possibility kubwa ya vijana wengi kuliwa vichwa, why?! Ni kwamba kati ya watu wamepewa kipaumbele baadhi yao ni walishiriki sensa iliyopita na walio shiriki zoezi la postcode... Although haimaanishi watu watakosa no ila vichwa vitaliwa vingi..

Wamepewa wiki moja kukamilisha majina..

Naomba, yaishia hapa haya..
kutokana na picha ya dp uliyoweka plus maelezo yako acha nikuamini kibishi

But kama watapewa kipaumbe waloshiriki sensa iliopita na post code vichwa kweli vitaliwa...! Sio utani.

Serikali nayo inaficha ficha mambo si wangesema mapema watu wasingeomba wengi hivyo...!
 
Huwezi amini katika barua moja ya mdhamini pasipo kujua nilimuweka mjomba wangu alikuwa Tabora nikaunga nauli nikamtumia akaja kutia dole ngumba lake moja nikaunga nauli ya kumrudisha Tabora. Sasa inakuaje tena mnaleta habari za wale waliohusika na postcode kuwa must be wawekwe tena kwenye ukarani bila kipingamizi. Daah inasikitisha sana
 
Nyanya pensi
Wacha nitulie maana twitter na fb kuna parody za kutosha. Nisije jisemesha hapa kumbe kuna jamaa mwenye uchebe yupo nyuma ya keyboard.

Anyway kila la kheri ila dsm hamna joto saizi kama upo kwenye jiji la Amos
 
Mchunguzi si ulitakiwa ufanye a simple thinking ungegundua kutuma hiyo fomu na yeye kukutumia ni way more cheaper.
Ila sababu kubwa na ambayo hawasemi ni kwneye post code tumeteseka sana alafu malipo 700 per house. Kwa kuongea utasema ni easy ila amini nakwambia haikuwa rahisi hata kidogo
 
Wacha nitulie maana twitter na fb kuna parody za kutosha. Nisije jisemesha hapa kumbe kuna jamaa mwenye uchebe yupo nyuma ya keyboard.

Anyway kila la kheri ila dsm hamna joto saizi kama upo kwenye jiji la Amos
😅😅 Uwe na usiku mwema
 
Kwa mamlaka waliyopewa Nbs kutengeneza recruitment portal watu wakaomba nafasi kilichofuata ni nbs kukabidhi uandaaji wa majina kwa Kamati ya wilaya.. Sasa nini kikechelewesha majina kutoka?! Mpaka sasa kamati ime delay kutoa majina na wameandikiwa barua jana,

Plus kuna hili litawashtua wengi, kuna possibility kubwa ya vijana wengi kuliwa vichwa, why?! Ni kwamba kati ya watu wamepewa kipaumbele baadhi yao ni walishiriki sensa iliyopita na walio shiriki zoezi la postcode... Although haimaanishi watu watakosa no ila vichwa vitaliwa vingi..

Wamepewa wiki moja kukamilisha majina..

Naomba, yaishia hapa haya..
Namna ya muundo wa sensa iliyo pita na ya sasa ni mashariki na magharibi kwa kigezo cha uzoefu, na inawezekana asilimia kubwa hawajaomba miaka kumi mingi sana.

Wewe kama ulishiriki postcode jipe matumaini tuu, maana kuna rundo la watu hawakushiriki na wanauwezo mkubwa kuzidi wale walio pewa na watendaji wa kama, mfano hapa wilaya ninayoishi watendaji walifanya kugawana watu wao wakapiga pesa.
 
Kwa mamlaka waliyopewa Nbs kutengeneza recruitment portal watu wakaomba nafasi kilichofuata ni nbs kukabidhi uandaaji wa majina kwa Kamati ya wilaya.. Sasa nini kikechelewesha majina kutoka?! Mpaka sasa kamati ime delay kutoa majina na wameandikiwa barua jana,

Plus kuna hili litawashtua wengi, kuna possibility kubwa ya vijana wengi kuliwa vichwa, why?! Ni kwamba kati ya watu wamepewa kipaumbele baadhi yao ni walishiriki sensa iliyopita na walio shiriki zoezi la postcode... Although haimaanishi watu watakosa no ila vichwa vitaliwa vingi..

Wamepewa wiki moja kukamilisha majina..

Naomba, yaishia hapa haya..
Unakosea Sana kutoa Siri za serikali ktk mitandao..hujui ethics za utumishi??pole Sana na bht mbaya umeweka picha yako.utajiponza shauri yako..kukaa kimya kwani shingapi
 
Back
Top Bottom