Kwa mamlaka waliyopewa Nbs kutengeneza recruitment portal watu wakaomba nafasi kilichofuata ni nbs kukabidhi uandaaji wa majina kwa Kamati ya wilaya.. Sasa nini kikechelewesha majina kutoka?! Mpaka sasa kamati ime delay kutoa majina na wameandikiwa barua jana,
Plus kuna hili litawashtua wengi, kuna possibility kubwa ya vijana wengi kuliwa vichwa, why?! Ni kwamba kati ya watu wamepewa kipaumbele baadhi yao ni walishiriki sensa iliyopita na walio shiriki zoezi la postcode... Although haimaanishi watu watakosa no ila vichwa vitaliwa vingi..
Wamepewa wiki moja kukamilisha majina..
Naomba, yaishia hapa haya..