Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Ahsante kwa muongozo[emoji28][emoji28][emoji28]Huyo kunguru ataunguza picha kama ngoswe,, halafu mi sivaagi chupi na wewe umenitag kimakosa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante kwa muongozo[emoji28][emoji28][emoji28]Huyo kunguru ataunguza picha kama ngoswe,, halafu mi sivaagi chupi na wewe umenitag kimakosa
Kiongozi tunakuomna toa taarifa nzima, hii taarifa ipo juu juu bado.Ndgu zangu, leo tupo dodoma, tumeambiwa tupakie Tv screens apa nbs, kuna kikao cha dharura..
Mkuu, siwezi uliza ni kikao gani cha dharura.. Bado mapema maana mama mkurugenzi tumemuacha ofsn.. Nikipata details ni cha nin basi nitasemaKiongozi tunakuomna toa taarifa nzima, hii taarifa ipo juu juu bado.
Na je usaili utakuwepo? Au waliochaguliwa wataunganisha kwenye semina?Mkuu, siwezi uliza ni kikao gani cha dharura.. Bado mapema maana mama mkurugenzi tumemuacha ofsn.. Nikipata details ni cha nin basi nitasema
Mkuu nakushauri Sana acha kuendeshwa na mihemko ya Hawa watu wa hii thread zingatia nidhamu ya kiutumishi... serikali Ina sheria zake za usalama wa taifa zinazokataza mtumishi kutoa Siri juu ya yanayoendelea katika taasisi husika...acha umuch know. Taarifa kama hizi za dharura NI za ndani ya ofisi usitoe nje.Ndgu zangu, leo tupo dodoma, tumeambiwa tupakie Tv screens apa nbs, kuna kikao cha dharura..
Shukran sana mkuu[emoji120]Mkuu nakushauri Sana acha kuendeshwa na mihemko ya Hawa watu wa hii thread zingatia nidhamu ya kiutumishi... serikali Ina sheria zake za usalama wa taifa zinazokataza mtumishi kutoa Siri juu ya yanayoendelea katika taasisi husika...acha umuch know. Taarifa kama hizi za dharura NI za ndani ya ofisi usitoe nje.
Ndugu tunajua wewe umekunywa maji ya bendera katika hii nchi hakuna siri, nataarifa anazotupa sio nyeti kama unavyofikiria na taarifa zake hatuziamini anatulisha matango poli kwa hiyo tulia aendelee kutulisha matango poliMkuu nakushauri Sana acha kuendeshwa na mihemko ya Hawa watu wa hii thread zingatia nidhamu ya kiutumishi... serikali Ina sheria zake za usalama wa taifa zinazokataza mtumishi kutoa Siri juu ya yanayoendelea katika taasisi husika...acha umuch know. Taarifa kama hizi za dharura NI za ndani ya ofisi usitoe nje.
Ualimu wamekutosa na hii ukikosa sijui utakuwa Ktk hali gani maana utakuwa ushakosa kahela cha mtaji wa kuanzia maisha.Japo sijaomba ila natetea haki za mengine walioomba
Asikutishe JF wote hapa ni wasomi, wajuaji, watumishi, majobless just continue mzeeShukran sana mkuu[emoji120]
Inawezekana jamaa akawa sitimbi(kijijin) huko anaturusha tu roho hapa.Kiongozi tunakuomna toa taarifa nzima, hii taarifa ipo juu juu bado.
Asikutishe mtu humu wote tunatumia fake IDShukran sana mkuu[emoji120]
Woyooooooo hapo kitambaa tutakutanaBar uchwala tu inaitwa serengeti hapa mwananyamala but weekend ni uhuru peak na kitambaa cheupe ya hapa kinondoni
Vipi umevaa leo hata sweta?[emoji28][emoji28] Uwe na usiku mwema
Usitake kunizoea Sana bhanaVipi umevaa leo hata sweta?
Good morning [emoji274]
Watu wanastress,jamaa analeta za kuleta,ebooo!Usitake kunizoea Sana bhana
Sifa zitakuja kukuponza pakubwa sana.Mkuu, siwezi uliza ni kikao gani cha dharura.. Bado mapema maana mama mkurugenzi tumemuacha ofsn.. Nikipata details ni cha nin basi nitasema
Jamaa anatumia i'd fake nani wa kumjua halafu kwa taarifa gani basi za maana za kuficha ulisikia kwani anapiga dili au mla rushwa kama wewe ? Yeye anatoa taarifa tu tena hazina maana kwa baadhi ya watuAsante mkuu kwa kunielewa usalama wa taifa wametanda kila mahali na hasa ukizingatia unyeti wa jambo hili la kitaifa...ngoja nikupe stori moja Mimi ilinitokea..Mimi NI mtumishi wa umma taasisi flan ya Kanda flan ikiwa chini ya wizara flan Sasa Kuna siku bhana moja ya wakala zetu wakatupa kazi tuwafanyie lengo pasu kwa pasu nadhani unaelewa mambo ya kufunga mwaka wa fedha,kosa nililofanya NI kumwambia TU rafiki yangu juu ya pesa ambayo ningeipata it was around 3 M.. huwezi amini rafiki yangu alilewa siku iliyofuata Mimi kwenda bar kumfuata ile kuniona TU kaanza kuropoka oya ndege week ijayo unapiga hela blah blah za kilevi unajua...kumbe usalama umetanda Sana huwezi amini jumatatu yake tulipata shida balaa Mara takukuru waje watukague mpk dakika ya mwisho kazi ikaingia nongwa na wakanionya Sana juu ya kutoa Siri za ofisi just imagine rafiki yangu kuropoka Tena sio bar kubwa NI kwenye ka grocery TU ndo maana nakwambia usichukulie poa kutoa Siri Kama hizi...nasema yote haya kwa kuwa umeweka picha yako katika avatar hivyo NI rahisi Sana wazee wa kitengo kupitia pitia Uzi huu na ukapata shida.