bravocharlie
JF-Expert Member
- Feb 1, 2020
- 861
- 857
Taarifa haina ukweli.Source:Tandahimba news
Anyway kwa nchi yetu lolote linaweza kutokea..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taarifa haina ukweli.Source:Tandahimba news
Anyway kwa nchi yetu lolote linaweza kutokea..
Mwanangu nomaBei gani wamewalipa Kiongozi
Sasa na mihuli yote hiyo waliyokuwa watugongea midole ngumba ile bado hawatuamini hii nchi ngumu sanaHawataki kukosea kama kwenye post code,so this time kila mtu atafanya kaz kwenye mtaa wake.kwaiyo mtu pekee ambae anakujua wewe ni mtendaji wa mtaa ambae ana link na mwenyekiti wa mtaa.
Sasa afisa wa nbs au mtu kutoka halmashauri hawez kukujua wewe, ndio maana wao wanadeal na watu wa maudhui na tehama
Sikia mfate mtendaji wa mtaa wako ongea nae vizuri,mwambie yule fala ameni blackmail.Kuna bwege ni mratibu elimu kata kasema nisipotoa elfu tano ya mwenge bas nisahau kuhusu mkeka wa sensa,
Wakuu Mimi Nina mpango wa kutokutoa hiyo hela, mwenye kujua Kama huyo bwege anaweza fanya mafekeche ikawa ndo bas tena anambie.
Kama akiweza bas NBS watakuwa na wao ni mafala kusumbua watu applications zote kupitia kwao.
Mkuu zoezi la sensa lipo serious sana,huwez kumuweka mtu ambae hajawahi tumia kivaa chchte ambacho ni smart.Kaeni kwa kutulia, sera ya huyu mama ni kila mtu ataonja usisahau na ile ya kula kwa urefu wa kamba. Waajiriwa (walimu) baadhi wataonja, Graduates nao baadhi wataonja bila kusahau ndg zetu wasiokuwa na fani pia watakuwemo, kikubwa ubahatike tu.
Yaani kwa nafasi zilizopo na maombi yaliyofanywa huwa wanapanga kabisa kila kundi wachukue idadi gani.
Hao watendaji wanaitaka hela ya mwenge kuliko hata huyo bwege Sema huyo bwege kazi yake ni kuikusanya hiyo hela halafu anawapelekea.Sikia mfate mtendaji wa mtaa wako ongea nae vizuri,mwambie yule fala ameni blackmail.
Wenye mamlaka kwenye kazi,za sensa,postcode,uchaguzi sijui na nyingine zenye mfanano huo watendaji wa mtaa na Kata ndio maboss
Kuna semina na matunzo mkuu.Msijichoshe semina ni siku 3 tu. Hizo siku 21 watu mnafundishwa nini cha ziada ??
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Najua vichache sanaHebu funguka inaonekana una vitu mhimu sana ndugu tupe mwanga
Kosa lilitokea nivl mtu wa kimara kufanya kazi kinyerez lazma atakosea bcoz mitaa haijui plus walikua wanafanta kaz haraka ili wasepe kwao hukoSasa na mihuli yote hiyo waliyokuwa watugongea midole ngumba ile bado hawatuamini hii nchi ngumu sana
Nashanga mmepata watendaji wa namna gani?Hao watendaji wanaitaka hela ya mwenge kuliko hata huyo bwege Sema huyo bwege kazi yake ni kuikusanya hiyo hela halafu anawapelekea.
Kuna form 4 na 6 mtaani hawa hawana fani na waliomba hizo nafasi na wana sifa na uwezo wa kuifanya hiyo kazi vyema.Mkuu zoezi la sensa lipo serious sana,huwez kumuweka mtu ambae hajawahi tumia kivaa chchte ambacho ni smart.
Kwani mfumo ulikua unamkubali mtu wa standard 7?
Ndio maana hawa laki 5 waliokamilika maombi wanachambuliwa kuna ile kanuna unavyobebwa unatakiwa ubebeke
acha uzwazwa wewe semina wiki zote izo kwani wanaenda kuhesabu mishipa na maini ya watuu! labda ifanyike kwa groups kwasababu watu wengi, ila ile ya kura ilikuwa siku mbili tuKwa hiyo unabishana na Makinda?
Mkuu za nje kabisa zpojeZa ndaaani kabisa...
Kuna sarakasi zilichezwa kwenye kuchagua wataolifanya zoezi, maboss wa juu wakawaka, zoezi likaanza upya tena ndo maana hadi sasa kupo kimya. Kwa hiyo uvumilivu ndo dawa pekee kwa sasa.
Mkuu tofautisha hvyo vitu viwiliacha uzwazwa wewe semina wiki zote izo kwani wanaenda kuhesabu mishipa na maini ya watuu! labda ifanyike kwa groups kwasababu watu wengi, ila ile ya kura ilikuwa siku mbili tu
kipi special wanaelekezwa uko kichukue wiki tatu nzima kama si kufuja pesa za umma, kama vishkwambi vinakuja vipo na taarifa ni kujaza dodoso basi, inategemea dodoso linahitaji nini , ugumu wa hii kazi upo ktk kuwahesabu watu na sio kufundishwa wiki zote izo, tena nikuambie hawa makarani wao kazi yao ni kwenda kujaza taarifa tu kwamba nyumba namba flani ina watu wangapi me kiasi gani na ke kiasi gani,Mkuu tofautisha hvyo vitu viwili
Inasikitisha sanakipi special wanaelekezwa uko kichukue wiki tatu nzima kama si kufuja pesa za umma, kama vishkwambi vinakuja vipo na taarifa ni kujaza dodoso basi, inategemea dodoso linahitaji nini , ugumu wa hii kazi upo ktk kuwahesabu watu na sio kufundishwa wiki zote izo, tena nikuambie hawa makarani wao kazi yao ni kwenda kujaza taarifa tu kwamba nyumba namba flani ina watu wangapi me kiasi gani na ke kiasi gani,
walemavu, n.k kwaiyo kitakachofanyika
kutakuwapo na wenyeji wa mtaa husika watashirikana na mjumbe wa eneo husika kupita nyumba hadi nyumba kucolect idadi ya watu na kuleta kwa makarani ambao watajaza ktk platform then makarani wa kila mtaa watawasilisha taarifa kata zinachakatwa zinaenda wilaya mkoa nakuendelea
kwa uelewa wangu wa elimu ya uraia kwaiyo
uko baadae taarifa zinakuwa ktk mfumo Gps inakuwa inakupa taarifa kwamba mtaa flani ,mipaka yake, idadi ya watu eneo ilo na makazi nyumba idadi yake, kwaiyo mtu akifa lazima mjumbe apate taarifa then idadi ya uyo mtu iwe isolated mtu kazaliwa lazima mjumbe ajue ktk mtaa wake apate ushuru wa kumuingiza ktk idadi
kwaiyo itafika mahala kila mtu atataikiwa taarifa zake ziwe ktk GPS , mjumbe kushirikiana na vijana , kama namba ya NIDA UNayo ikijazwa taarifa ina display, au hauna nida basi unapigwa picha unaweka na fingerprint
kwaiyo taarifa zinakuwa hivi ukiingiza jina
inakuja mahali anapokaa. namba ya nyumba, picha yake, umri, kazi, au akiweka fingerprint. taarifa zinakuwa ktk mifumo ya serikali
sijajuwa kama ndo ivo au laaa, ila uko baadae inatakiwa mtu akitizama camera tu anajulikana huyu ni nani anaishi wapi je anakesi je anacv gani
kwaiyo ukipost kitu mitandaoni picha yako ikionekana wanajuwa wanakupata wapi au watakupata vipi
Hapa ndo umenithihirishia watendaji lazima waweke misukule yao kumamake hii nchi ipo siku nitaikimbia mazima nikafie tu mbeleKosa lilitokea nivl mtu wa kimara kufanya kazi kinyerez lazma atakosea bcoz mitaa haijui plus walikua wanafanta kaz haraka ili wasepe kwao huko
Wewe jamaa mbona upo against na semina siku 21?acha uzwazwa wewe semina wiki zote izo kwani wanaenda kuhesabu mishipa na maini ya watuu! labda ifanyike kwa groups kwasababu watu wengi, ila ile ya kura ilikuwa siku mbili tu
Upo sahihi sana, lakini kutembea mtaani kila nyumba sio kazi ndogo kama usemacho wewe hapo pia kukaa siku 21 pengine itatupunguzia ukali wa maisha vijana majobless usiseme kufuja pesa utakua unakosea hizo pesa wasipotupa sisi watakula tu wengine mpango miaka 10 kuna sponsors wameweka pesa unahisi wakisema wasitugee sisi vijana itaenda wapi?kipi special wanaelekezwa uko kichukue wiki tatu nzima kama si kufuja pesa za umma, kama vishkwambi vinakuja vipo na taarifa ni kujaza dodoso basi, inategemea dodoso linahitaji nini , ugumu wa hii kazi upo ktk kuwahesabu watu na sio kufundishwa wiki zote izo, tena nikuambie hawa makarani wao kazi yao ni kwenda kujaza taarifa tu kwamba nyumba namba flani ina watu wangapi me kiasi gani na ke kiasi gani,
walemavu, n.k kwaiyo kitakachofanyika
kutakuwapo na wenyeji wa mtaa husika watashirikana na mjumbe wa eneo husika kupita nyumba hadi nyumba kucolect idadi ya watu na kuleta kwa makarani ambao watajaza ktk platform then makarani wa kila mtaa watawasilisha taarifa kata zinachakatwa zinaenda wilaya mkoa nakuendelea
kwa uelewa wangu wa elimu ya uraia kwaiyo
uko baadae taarifa zinakuwa ktk mfumo Gps inakuwa inakupa taarifa kwamba mtaa flani ,mipaka yake, idadi ya watu eneo ilo na makazi nyumba idadi yake, kwaiyo mtu akifa lazima mjumbe apate taarifa then idadi ya uyo mtu iwe isolated mtu kazaliwa lazima mjumbe ajue ktk mtaa wake apate ushuru wa kumuingiza ktk idadi
kwaiyo itafika mahala kila mtu atataikiwa taarifa zake ziwe ktk GPS , mjumbe kushirikiana na vijana , kama namba ya NIDA UNayo ikijazwa taarifa ina display, au hauna nida basi unapigwa picha unaweka na fingerprint
kwaiyo taarifa zinakuwa hivi ukiingiza jina
inakuja mahali anapokaa. namba ya nyumba, picha yake, umri, kazi, au akiweka fingerprint. taarifa zinakuwa ktk mifumo ya serikali
sijajuwa kama ndo ivo au laaa, ila uko baadae inatakiwa mtu akitizama camera tu anajulikana huyu ni nani anaishi wapi je anakesi je anacv gani
kwaiyo ukipost kitu mitandaoni picha yako ikionekana wanajuwa wanakupata wapi au watakupata vipi
Muache tu,ana uchungu na pesa zetuInasikitisha sana