Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Za ndaaani kabisa,
27/6 - 1/7: Kutangazwa kwa majina kwa ajili ya kufanya usaili.

4/7: Usaili kwa waombaji

11/7 - 15/7: Kutangazwa kwa majina yalipita kwenye usaili

18/7: Kuanza kwa semina.

16/8: Mwisho wa semina.

17/8 - 19/8: Vikao vya mwisho.

22/8: Kukusanya vifaa vya kazi

23/8: Kuanza kwa zoezi la sensa.
Wewe ni mganga kutoka wapi vile mbona unaupiga mwingi kwenye ramli yako
 
Mara pap mkeka huo halafu vigunge wa kupiga soga kwenye huu uzi tunapigwa za uso, uzi wanachukua mikoba wengine ambao hata hawajawahi kuripoti humu wakipeana updates za usahili , posho nk halafu wakulungwa tukichungulia uzi na kuupita kwa mbali 😂😂😆😆
 
Mara pap mkeka huo halafu vigunge wa kupiga soga kwenye huu uzi tunapigwa za uso, uzi wanachukua mikoba wengine ambao hata hawajawahi kuripoti humu wakipeana updates za usahili , posho nk halafu wakulungwa tukichungulia uzi na kuupita kwa mbali [emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watendaji tena [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio,yaani nimejiongeza tu kama watendaji wanahusika moja kwa moja kwenye uhakiki wa anuani za makazi pia wanahusika moja kwa moja na sensa katika uteuzi wa makarani wa sensa pia sensa inategemea anauni za makazi(yaani wewe karani ufika eneo husika unavuta taarifa then unahesabu watu haufanyi ukusanyaji wa data za makazi)
Wewe unaona imekaaje hii?
 
Sasa kama watendaji Wana teua makarani kwa nini tuliapply online?

But upo sahihi sensa inategemea zoezi la anuani za makazi
 
Sasa kama watendaji Wana teua makarani kwa nini tuliapply online?

But upo sahihi sensa inategemea zoezi la anuani za makazi
Hawataki kukosea kama kwenye post code,so this time kila mtu atafanya kaz kwenye mtaa wake.kwaiyo mtu pekee ambae anakujua wewe ni mtendaji wa mtaa ambae ana link na mwenyekiti wa mtaa.
Sasa afisa wa nbs au mtu kutoka halmashauri hawez kukujua wewe, ndio maana wao wanadeal na watu wa maudhui na tehama
 
Sasa kuna Yale mabifu [emoji42]na watendaji itakuaje [emoji24]
 
Za ndaaani kabisa...
Kuna sarakasi zilichezwa kwenye kuchagua wataolifanya zoezi, maboss wa juu wakawaka, zoezi likaanza upya tena ndo maana hadi sasa kupo kimya. Kwa hiyo uvumilivu ndo dawa pekee kwa sasa.
Kuna mpiga ramli hapo juu kasema ni tar 27 hadi tar 1 ijayo majina yatatoka..! Tar 27 tumeshakula imebaki tar 28 hadi tar1
 
Niwaambie nimeitwa kufanya uhakiki wa anauni za makazi kwa jiji la ilala na watendaji wanahusika moja kwa moja.
Kama ndio ivyo basi tusubirie kidogo swala la sensa, nimethibitisha sensa inategemea anuani za makazi moja kwa moja
Bei gani wamewalipa Kiongozi
 
Kuna bwege ni mratibu elimu kata kasema nisipotoa elfu tano ya mwenge bas nisahau kuhusu mkeka wa sensa,

Wakuu Mimi Nina mpango wa kutokutoa hiyo hela, mwenye kujua Kama huyo bwege anaweza fanya mafekeche ikawa ndo bas tena anambie.

Kama akiweza bas NBS watakuwa na wao ni mafala kusumbua watu applications zote kupitia kwao.
 
Kaeni kwa kutulia, sera ya huyu mama ni kila mtu ataonja usisahau na ile ya kula kwa urefu wa kamba. Waajiriwa (walimu) baadhi wataonja, Graduates nao baadhi wataonja bila kusahau ndg zetu wasiokuwa na fani pia watakuwemo, kikubwa ubahatike tu.

Yaani kwa nafasi zilizopo na maombi yaliyofanywa huwa wanapanga kabisa kila kundi wachukue idadi gani.
 
Back
Top Bottom