Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

19 May, 2022.
19 June, 2022.
Next 19July, 2022.

Hawa jamaa tatizo nini?

Tunaopata stress ni sisi majobless, toeni mkeka ili tuhamishe mawazo kwenda sehemu nyingine.
Leo ama kesho mambo yanaweza kuwa mubashara

Ila ikivuka kesho bas mi natemana nao

Ee Mungu saidia
 
Hivi watakaochaguliwa ni moja kwa moja semina au kuna mchujo tena!?.

Ubaya wa hii nchi hakuna updates zozote, hawa mabwenyenye hawajali hisia za wanaowatumikia.
 
Wewe muongo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…