Mchunguzi Fukara
JF-Expert Member
- Dec 23, 2021
- 215
- 274
Inasikitisha sanaSasa mkuu kwa kuangalia tuu na akili ya kawaida kulikuwa na haja gani yakumtumia mjomba nauli angali na wewe una dole gumba? Unadhani ni mfumo gani watatumia kugundua ilo dole gumba ni la anko kutoka tabora?, tena kutoka kwenye karatasi mifumo mingine ipo tuu ili malengo yatimie......pole