Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Sema yule jamaa yetu wa NBS kuna wasenge maandazi walimtisha
Tofauti na hapo tungepata lonja yetu safi
Tofauti na hapo tungepata lonja yetu safi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana afya yake mgogoro mpaka anashindwa kumalizia herufi za maneno[emoji3]Wewe ndio utulize munkari na uandike vizuri kwani post yako inamakosa kibao ya kiuandishi mfano; Makatani=Makarani ,seminar=semina ,afu=halafu
@MshikjiFlaniHivii njoo mwanangu tumekumis kinoma utupe updateSema yule jamaa yetu wa NBS kuna wasenge maandazi walimtisha
Tofauti na hapo tungepata lonja yetu safi
Washamtisha@MshikjiFlaniHivii njoo mwanangu tumekumis kinoma utupe update
Hebu funguka vizuri mkuu wataanza kutangaza majina au ndio wataanza kuchambua majina?Msijari ndugu zangu kazi mtapata, leo baada ya kufunga semina ya wasimamizi wataanza kudeal na makarani
Kuna mtu alikuja kumtisha apa kwenye uzi wetu pendwa@MshikjiFlaniHivii njoo mwanangu tumekumis kinoma utupe update
Hii mbona imekaa Ki-NBS
Itabidi niende na hii ratiba nitadeal na hii ratiba
Bado kutangazwa tu majina yameshatumwa mikoa husika ilikuwa imasubiliwa kumalizika training ya wasimamizi then itafuata ya makaraniHebu funguka vizuri mkuu wataanza kutangaza majina au ndio wataanza kuchambua majina?
Hii ni mafunzo sie tunataka tu majina
Kuwa mvumilivu mkuu majina yatatoka tu kwa sababu Hilo zoezi ni lazima lifanyika.. kikubwa Sasa Endelea kufanya kazi zako Huku ukiomba Mungu wako jina lako lionekane.. Sensa ni mwezi August mwshoni usitegemee majina kutolewa Leo hii Wala kesho.. hapo mpaka shule na taasisi vyote za vyuo vifungweTuendelee kuvumilia hakuna marefu yasiyo na ncha,Ila tujue kuna kupata na kukosa yote ni matokeo katika hili japo hakuna alieomba ili akose.
Ramli kama ramliTaarifa rasmi niliyoipata leo kutoka jikoni huko NBS ni kua kila kitu kimekamilika katika ngazi ya kitaifa na sasa zoezi linalofuata ni seminars kwa ngazi ya mikoa then watatoa majina kabla ya tar. 20 July 2022 ili mafunzo ya makarani na wasimamizi wa sensa yaanze rasmi tar.27 July hadi 18.August then tar.23 zoezi la kuhesabu watu litafanyika.Utaratibu ni huu wakuu
NB: Save hii ratiba utakuja kunishukuru baadae[emoji120]
Mkuu tunashukuru kwa taarifa za jikoni soon tuletee na zachumbani hii ratiba/ramli iwe ya mwisho inaonekana ina ukweli ndani yakeTaarifa rasmi niliyoipata leo kutoka jikoni huko NBS ni kua kila kitu kimekamilika katika ngazi ya kitaifa na sasa zoezi linalofuata ni seminars kwa ngazi ya mikoa then watatoa majina kabla ya tar. 20 July 2022 ili mafunzo ya makarani na wasimamizi wa sensa yaanze rasmi tar.27 July hadi 18.August then tar.23 zoezi la kuhesabu watu litafanyika.Utaratibu ni huu wakuu
NB: Save hii ratiba utakuja kunishukuru baadae[emoji120]
Form watu walishafungia madaziMimi narudia tena. Ili majina yatolewe kwenye wavuti y NBS lazima kwanza usaili ufanyike kataka ofisi za kata kwa makarani. Na semina ni tarehe 27 July
NB: Rejea form namba 1 ya maombi ya sensa