Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Inasikitisha sana
 
Nbs nawaona wanapita pita humu kuona uhuni mliofanya kwenye maombi yenu.
 
Nbs nawaona wanapita pita humu kuona uhuni mliofanya kwenye maombi yenu.
Na ndio hawa walokuwa wanajitia midole ngumba yao badala kuweka midole gumba ya watu husika wao wanatia tu bila kufuata procedures ndio waliosababisha NBS watupige chini waitwe wale postCode na ndio wanaoendelea na semina
 
Nbs nawaona wanapita pita humu kuona uhuni mliofanya kwenye maombi yenu.
Uhuni gani ?,system haina ufanisi ukweli usemwe ili wabadilishe mfumo uendane na wanachokitaka huo mfumo ulihitaji biometric fingure recognition ambayo tungetakiwa kuwa na data base kubwa zenye hizo prints za kila mtu
 
Na ikawe kama ilivyo tu mzee mi nishaapia [emoji3][emoji3]
 
Uhuni gani ?,system haina ufanisi ukweli usemwe ili wabadilishe mfumo uendane na wanachokitaka huo mfumo ulihitaji biometric fingure recognition ambayo tungetakiwa kuwa na data base kubwa zenye hizo prints za kila mtu
Wee jifanye much know tu, nbs hawana vigezo vya kuprone watu, wanatafuta vijisababu kama hivyo wakule kichwa.
 
Wacha waprun tuu kwa kigezo cha kutokukubaliana na system yao,endelea kukaa hivyo hivyo kwa kuogopa kukosa ajira ya mwezi mmoja ambayo huna uhakika nayo
Basi ngoja niamini kwamba wataalam waliopropose wadhamini kusaini kwa kidole ni wajinga na kwamba walikuwa na lengo la kuwatisha waombaji waoga kama mimi.

Halafu ukiomba chochote, tafsiri yake ni kwamba unakihitaji, hata kiwe kidogo vp unakitaka, bila kujali unakihitaji kwa kiasi gani.

Acha tabia za kujikosha!
 
Utabili wangu uko palepale kabla ya tarehe 23 mwez 8 majina yatakua yametoka sema tawile[emoji16][emoji16]
 
Mimi nikipewa kazi ya kuchagua majina ni week moja tu nmemaliza hawa jamaa ni mwezi wa pili huu na wako wengi sio mtu mmoja...!
 
Hawana teknolojia hiyo

Mimi mwenyewe nilikuwa muombaji na pia nikawa mdhamini nimetumia madole gumba yangu
Sawa hawana teknolojia hiyo, watu kama nyinyi ndo nmafanya vijana wengi wasiaminike waonekane ni watu wa forgery, ndo maana wanasubiri walimu tu wamalize muhula.
 
Kama nimemuelewa vizuri simba chawene, anasema hao waliohitimu mafunzo ya kitaifa wataenda kuwapa semina ngazi ya mkoa, baada ya hapo ndio yaje mafunzo ngazi ya chini. Kwahiyo muendelee kusubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…