Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
ππππ: majina tar 10 mwezi huu trust me
Weka kidau kama unajiamini..: majina tar 10 mwezi huu trust me
Ila siku zimeisha wazee muda wowote mambo yanakuwa hadharani na ndio mwisho wa ramli za wadau.: majina tar 10 mwezi huu trust me
Ushaanza na wewe sasa: majina tar 10 mwezi huu trust me
Sawa wacha nijikoshe,endelea kusubiri kwakuamini dole gumba la mdhamini linakufanya usijue mapungufu ya mfumoBasi ngoja niamini kwamba wataalam waliopropose wadhamini kusaini kwa kidole ni wajinga na kwamba walikuwa na lengo la kuwatisha waombaji waoga kama mimi.
Halafu ukiomba chochote, tafsiri yake ni kwamba unakihitaji, hata kiwe kidogo vp unakitaka, bila kujali unakihitaji kwa kiasi gani.
Acha tabia za kujikosha!
Yako wapi!??before 4/7 majina yatakua mikononi mwenu
Kuna watu wanadai wao ni ma TISS, wasije haribu kibarua mkuu.. Lenye ulazima nitasema tu mkuu[emoji120]MshikjiFlaniHivii unaitwa uku utoe update
Nipo connection ya pori mkuu nipo dar sina kazi ya kufanya.Mmeshaambiwa maandalizi ya sensa yamekamilika kwa 100% which means kila kitu tayari nyie mnasubiri majina gani?
Nyie majob less kuna mapori kibao huko mlipo nendeni mkayakatue mlime na msubiri kuhesabiwa.
Kaonane na mwenyekiti mabwe pande anasaidia vijana kwa kuwapatia maeneo ya kulimaNipo connection ya pori mkuu nipo dar sina kazi ya kufanya.
we mapori huyaoni mpaka ututangazie humu.Mmeshaambiwa maandalizi ya sensa yamekamilika kwa 100% which means kila kitu tayari nyie mnasubiri majina gani?
Nyie majob less kuna mapori kibao huko mlipo nendeni mkayakatue mlime na msubiri kuhesabiwa.
Mkuu nipo Dom hapa, naomba niunge nipige kazi hiiNdugu zangu, zoezi la uhamasishaji mikoani soon linaanza rasmi, kama upo dodoma anza kupita Hq pale upate hii kazi ya kusambaza vipeperushi.. Posho ni nzuri pia.[emoji120]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Mmeshaambiwa maandalizi ya sensa yamekamilika kwa 100% which means kila kitu tayari nyie mnasubiri majina gani?
Nyie majob less kuna mapori kibao huko mlipo nendeni mkayakatue mlime na msubiri kuhesabiwa.
So makarani ndo wamewpotezea mkuu ??Ndugu zangu, zoezi la uhamasishaji mikoani soon linaanza rasmi, kama upo dodoma anza kupita Hq pale upate hii kazi ya kusambaza vipeperushi.. Posho ni nzuri pia.[emoji120]