Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Basi ngoja niamini kwamba wataalam waliopropose wadhamini kusaini kwa kidole ni wajinga na kwamba walikuwa na lengo la kuwatisha waombaji waoga kama mimi.

Halafu ukiomba chochote, tafsiri yake ni kwamba unakihitaji, hata kiwe kidogo vp unakitaka, bila kujali unakihitaji kwa kiasi gani.

Acha tabia za kujikosha!
Sawa wacha nijikoshe,endelea kusubiri kwakuamini dole gumba la mdhamini linakufanya usijue mapungufu ya mfumo
 
Mnaonaje uu uzi tuupotezee mpka mkeka utoke mdo tuanze kujadili tupunguziane vipreshaa😧😧😩😩
 
Mbona hii imekuwa gafla sana wazee tumeliwa vichwa amaa?
20220703_172307.jpg
 
Mmeshaambiwa maandalizi ya sensa yamekamilika kwa 100% which means kila kitu tayari nyie mnasubiri majina gani?

Nyie majob less kuna mapori kibao huko mlipo nendeni mkayakatue mlime na msubiri kuhesabiwa.
 
Nipo connection ya pori mkuu nipo dar sina kazi ya kufanya.
 
Haya wiki hii nayo imeisha, hakuna jipya.

Tunatarajia akina "Karumanzila" kuzidi kuongezeka wiki inayoanza kesho jumatatu kwa ajili ya zoezi pendwa la ramli....Amen
 
Mmeshaambiwa maandalizi ya sensa yamekamilika kwa 100% which means kila kitu tayari nyie mnasubiri majina gani?

Nyie majob less kuna mapori kibao huko mlipo nendeni mkayakatue mlime na msubiri kuhesabiwa.
we mapori huyaoni mpaka ututangazie humu.
 
Mmeshaambiwa maandalizi ya sensa yamekamilika kwa 100% which means kila kitu tayari nyie mnasubiri majina gani?

Nyie majob less kuna mapori kibao huko mlipo nendeni mkayakatue mlime na msubiri kuhesabiwa.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
 
Back
Top Bottom