Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Kikubwa ni kuingia tovuti ya NBS kila mara hasa wiki hii maana mkeka muda wowote utasoma.

Lakini sababu za kuchelewa hasa kutoka kwa majina ni nini?

Kama itakuwa ni kutenda haki basi ni jambo zuri sana maana ajira za walimu zilizotoka huwezi kuamini haki imetendeka kwa kiasi kikubwa mno maana ninaowafahamu ambao hawakuwa na connection yoyote wamepata ajira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…