mpiga era
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,078
- 2,266
Uko sahihi watendaji wenyewe hawajui kinachojiri mpaka sasaInaonekana kuna sintofahamu hata kwa watendaji.[emoji2] Tuendelee kunywa maji mengi .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi watendaji wenyewe hawajui kinachojiri mpaka sasaInaonekana kuna sintofahamu hata kwa watendaji.[emoji2] Tuendelee kunywa maji mengi .
[emoji120][emoji120]@MshikjFlaniHivii.. Badili avatar yako naona unajichoresha mkuu
nadhan wamepanic coz muda unayoyoma tuNbs wanazidiwa ujanja mpk na Necta ambao wametoa tokeo la form 6 chap sijui wao wanakwama wapi aisee!! 😂 😂 😆
Hawana lolotenadhan wamepanic coz muda unayoyoma tu
Tunywe maji mengi mzigo jaribu utene
Uchambuzi wa majina ulianza 02/06/2022Someni hii
Hii nchi ngumuUchambuzi wa majina ulianza 02/06/2022
Hadi leo 05/07/2022 bado wanachambua tu?
Seriouz?Ramli niikuwa degree wote wamekatwa
Ameshasema Ramli hapo u serious unatoka wapi ?Seriouz?
Kwa hiyo degree wakatwe degree waache form four any way sio rahisiSeriouz?
Dgree inabid wakazbe mapengo private sector yaloachwa na wateule wa TAMISEMIKwa hiyo degree wakatwe degree waache form four any way sio rahisi
Kaa kwa kutuliaHABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE.......
Unajaza server za Jf kwa kuleta porojo humu.Za ndaaani kabisaa...
Sensa watafanya walimu tuu