Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Ramli zishakuwa nyingi mpka keroZa ndaaani kabisaa...
Sensa watafanya walimu tuu
Daah mbona semina iko mbali sanaKikao cha leo na waandishi wa habari, kamati za sensa wilaya zimeambiwa kuanzia tareh ya leo 6 mpaka 26 ziwe zimetoa majina na usaili ufanyike ndani ya hizo tarehe maana semina na mafunzo ya makarani zitakua tareh 29 julai hadi 18 agosti
[emoji16][emoji16] daah wenye bifu na watendaji imekula kwetuUsiite majina mkuu, kata wataombwa na nbs kutuma majina ya vijana ambao copy zao zipo ofisini na verification kwamba ni wakaazi wa huo mtaa then nbs itawaweka kwenye list, haina guarantee kwamba majina atakayopeleka mtendaji ndio atapewa kazi..NO.. Na huu ndio ukweli.[emoji120]
Khaaaaaaaah nimeghaili, Pesa yote hiyooo? Kweli hii ni tz ya Michongo[emoji849]Ndio hivyoo Mkuu..
Hiyo Ndo Taarifa Rasmi kutoka NBS.
Tutegemee ndani ya wiki tatu zijazo majina kutoka, usahili ufanyike na watakaofanikiwa kupita kwenye Usahili wataanza mafunzo Yao ndani ya siku 21.
Ngazi ya mkoa wameanza Leo wanapewa hela Nzuri Sana 150k per day almost 3.1M mpaka mafunzo yanaisha.
Jamaa wapo vizuri wamejipanga Sana kiukweli.
Tuwe Wavumilivu Tu
Yajayo Yanafurahisha.
Jaman mtendaj anammendea Manz wangu nimharibie boss au mnanishaulije?[emoji16][emoji16] daah wenye bifu na watendaji imekula kwetu
Mkuu mfano kwenye kitongoji kimoja ni makarani wangapi watahusika kuhesabu watu kwa huku kijijini?Kata Moja Inategemea Sasa Na Ukubwa wa Kata na Mahitaji ya Kata na hapo ni hasa Kwa makarani.
Lakini Kwa wasimamizi wa Sensa kimsingi Kata Moja inakuwa na wasimamizi wawili I mean wa maudhui na tehama Ila kama inatokea labda kwenye wilaya INA Kata nyingii kuliko idadi ya wasimamizi itabidi Kata zaidi ya moja zisimamiwe na wasimamizi wawili inaweza ikawa Kata Tatu au NNE itategemea, maanake kuna halmshauri nyingine zina Kata nyingii Sana alafu unakuta idadi ya walioomba Usimamizi ni wachache Sana kwahiyo itabidi waweze kubalance.
Kimsingi Nafasi za ukarani ni nyingii Sana kuliko wasimamizi na wengi Sana wameomba ukarani kuliko Usimamizi kwahiyo wao wenyewe wataangalia Namna gani waweze kubalance kulingana na Mahitaji ya Kata husika.
Mkuu mfano kwenye kitongoji kimoja ni makarani wangapi watahusika kuhesabu watu kwa huku kijiji
Hyo pesa kwa ngazi ya mkoa mbona nyingi sana, szan kma itakuwa hvyo.Khaaaaaaaah nimeghaili, Pesa yote hiyooo? Kweli hii ni tz ya Michongo[emoji849]
We uchune tu bitches comes and goJaman mtendaj anammendea Manz wangu nimharibie boss au mnanishaulije?
Hapo ndo nikakumbukaga lile goma la kitambo Nikimharbia boss ntaikosa kaz[emoji22]
Hivi usahili ni interview au mi nachanganya mambo hapa??NBS baada ya kuchambua majina ya watu walioomba watawarudishia Kata ili waweze kuendesha Usahili Kwa kuwa NBS wao hawawezi kuwajua watu wa kwenye hiyo Kata I mean walioomba.
Watakaofanyiwa Usahili ni wale ambao walioomba kufanya Kazi kwenye Kata husika wakatuma Maombi Yao NBS, wakayachambua na kuwarudishie tena watu wa Kata waendeshe usahili.
Baada ya usahili kufanyika watu wa Kata ndo watayatuma majina Ya Watu waliopita kwenye Usahili wa Kata NBS ili na wao waweze kuhakiki baada ya hapo ndo watayatao Kwa ujumla majina ya ambao wamefanikiwa kupita kwenye Usahili na hao ndo watakaoenda kwenye mafunzo ya siku 21.
Sasa Hapo ni kulia na Watendaji maana wao Wana nafasi KUBWA Sana ya kumuweka nani na kumuacha Nani. NBS wao ni kama wanasimamia Tu mchakato lakini kiuharisia Watendaji ndo kila kitu kwenye hili Zoezi.
Na makarani wangapi.kila kata wasimamizi wanakua 2
Ndo hivyo Mkuu.Hyo pesa kwa ngazi ya mkoa mbona nyingi sana, szan kma itakuwa hvyo.
Ngaz ya kata naskia haipungui 700k, tatzo hzo ngaz za juu watu wanakuwa wachache mkuu, ngaz ya chn huku ndiio nyomiNdo hivyo Mkuu.
Sasa Ungejua Ngazi Ya Taifa Wamepewa bei gani, hii ya ngazi ya mkoa ni cha mtoto Sanaa.
Mkuu Watu Wamekula Pesa
Acha Kabisa Yan.
700,000Tsh ÷ 31 Days = 22,580 Tsh per day.Ngaz ya kata naskia haipungui 700k, tatzo hzo ngaz za juu watu wanakuwa wachache mkuu, ngaz ya chn huku ndiio nyomi
Sio siku 31 boss, ni less than 31700,000Tsh ÷ 31 Days = 22,580 Tsh per day.
Hela ndogo.
Siku za semina 21, siku za zoezi lenyewe 10. Labda kama posho ya semina na kazi ni tofauti.Sio siku 31 boss, ni less than 31
Kwa hiyo wale ambao hawakuacha kopi kule katani inakuaje? Ina maana NBS hawatatuma majina Katani?Usiite majina mkuu, kata wataombwa na nbs kutuma majina ya vijana ambao copy zao zipo ofisini na verification kwamba ni wakaazi wa huo mtaa then nbs itawaweka kwenye list, haina guarantee kwamba majina atakayopeleka mtendaji ndio atapewa kazi..NO.. Na huu ndio ukweli.[emoji120]