Umemuuliza swali zuri sana, atuletee majibu hapa kuna watu wanajifanya wajuaji sana aisee, muda ndio utakao amua ipi mbivu na ipi mbichi?Vipi ikiwa waombaji wote kwenye kata husika wanamakosa hayo au asilimia kubwa wapo hivyo watatumia na nafasi zipo wazi vigezo gani vitatumika ?
Mkuu amka kumekucha
[emoji1787][emoji1787] shule zinafungwa tarehe 28 naintavyuu mnafanya lini
Kama mpaka kufungwa shule basi ni 28 mwezi huu Shule na vyuo vyote closed.
Kuna watu utumbo umeakata taaVigezo walivyotumia kukata majina ya waombaji ni
1. Sahihi ya mwombaji kutowekwa
2. Waombaji kuweka living certificate
3. Sahihi za wadhamini kutowekwa
4. Kutokata sehemu waliyoandika afikiriwe ama asifikiriwe.
5. Kutoweka mhuri wa mtendaji yeyote kata au kijiji.
NB. nenda uangalie copy za form yako ukiona umenusurika na hivyo vigezo ujue jina litatoka.
NBS wako nyuma ya muda lolote linaweza kutokea, tuache muda uamue.Labda tume overthinking, maelezo yalisema makarani watafanyiwa usaili na watendaji wa mtaa,sasa wewe hapa ni kipi kigumu?
Majina yanatoka hapa soon then kama jina lako lipo utaliona kwenye ofis ya kata au ya mtaa
Baada ya hapo kinachofata ni usaili ambao watahusika watu wa kata husika. Baada ya hapo watendaji watawasilisha wajina nbs,mbona kwenye uchaguzi mkuu shughuli wanafanya watendaji tuwaamini tu.
Ndio ndioHaina noma Mkuu wacha nivunge nickose ving.[emoji120]
Bakini nazo, si lazima.Vigezo walivyotumia kukata majina ya waombaji ni
1. Sahihi ya mwombaji kutowekwa
2. Waombaji kuweka living certificate
3. Sahihi za wadhamini kutowekwa
4. Kutokata sehemu waliyoandika afikiriwe ama asifikiriwe.
5. Kutoweka mhuri wa mtendaji yeyote kata au kijiji.
NB. nenda uangalie copy za form yako ukiona umenusurika na hivyo vigezo ujue jina litatoka.
Daah, hapo sasa nimeelewaHiyo Ni nadharia Mkuu Wala usiwe na presha.
NBS hawawezi na hawana muda wa kuhakiki kuwa huyu MTU ni mkazi wa Kata husika Kwa Namna yoyote ile hasa ukizingatia muda umeenda Sana.
Na ndo maaana ili Zoezi la uhakiki linafanywa Kwa kiasi kikubwa na Watendaji wao ndo kila Kitu.
NBS wao uhakiki wao ni kuangalia zile taarifa ulizotuma ni Sahihi na zinaohana na TAARIFA za Watendaji.
NBS hawana ishu KUBWA hapo
Mchawi Ni Mtendaji Yeye Ndo Kila Kitu.
Ramli ya ukweli ni tar 8 hadi 26Mateso haya mwisho tarehe 8.7.2022
Kesho mambo kwa air