Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Web ya nbs inafanya kazi kwako sasiavi au Mimi ndio nakwama?Leo nilienda kusinya kwa mtendaji wa kijiji na nmekusanya ila waliopeleka hizo form hawajafika hata 40
Sjaingia huko tangu mchana mkuu sfahamu jaribu mara nyingi tu utafanikiwaWeb ya nbs inafanya kazi kwako sasiavi au Mimi ndio nakwama?
Kuna program huwa zinatumika kuchuja Watu waliokidhi vigezo vs wasiokidhi vigezo.Sipati picha mchujo wake utakuwaje mana waombaji wengi sana
Haya majibu mkuu sawa ndio umeamua kujibu hvyoBarua inayotoka kwa PASTOR inayoonehsa kama unatoa sadaka au la
Unaweza kukuta watu wanaohitajika hapo ni kama 10 tu.Leo nilienda kusinya kwa mtendaji wa kijiji na nmekusanya ila waliopeleka hizo form hawajafika hata 40
Kwahiyo kila kitongoji makarani ni wawili eeeUnaweza kukuta watu wanaohitajika hapo ni kama 10 tu.
chukua kijiji chenu kina vitongoji 6 na kila kitongoji makarani 2, 2*6=12 bado ugumu wa kichaguliwa ni 50 kwa 50
Kumbe ni ivyo mkuu basi sawa ngoja tusubili tuone itavyokuwaKuna program huwa zinatumika kuchuja Watu waliokidhi vigezo vs wasiokidhi vigezo.
Mfano kwenye excel (macrons kama sijasahau) kuna namna inaweza kuchuja kulingana na vigezo unavyoiwekea.
Angalieni kwenye account zenu za maombi ya sensa kuna ujumbe wa Hongera
Mmh
Sijui boss mi nimeshapotezea huo mchongo now naendelea na mishe zanguMkuu kuna shida kidogo baada ya kuatach form copy unapeleka mahali?
Ukiipata Nakunya Kihonda hadi Bigwa!!!Ngoja niombe
Genta unazinguaUkiipata Nakunya Kihonda hadi Bigwa!!!
Mkuu bila shaka umeomba hizi nafasi??Ukiipata Nakunya Kihonda hadi Bigwa!!!