Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Sipati picha mchujo wake utakuwaje mana waombaji wengi sana
Kuna program huwa zinatumika kuchuja Watu waliokidhi vigezo vs wasiokidhi vigezo.
Mfano kwenye excel (macrons kama sijasahau) kuna namna inaweza kuchuja kulingana na vigezo unavyoiwekea.
 
Wakuu msaaada kuna watu kama watano nimeongea nao wamekutana na changamoto ya mfumo kusema kuwa namba ya kidato cha nne imetumika. Hii inatatuliweje wakuu
 
Leo nilienda kusinya kwa mtendaji wa kijiji na nmekusanya ila waliopeleka hizo form hawajafika hata 40
Unaweza kukuta watu wanaohitajika hapo ni kama 10 tu.

chukua kijiji chenu kina vitongoji 6 na kila kitongoji makarani 2, 2*6=12 bado ugumu wa kichaguliwa ni 50 kwa 50
 
Kwahiyo kila kitongoji makarani ni wawili eee
 
Kuna program huwa zinatumika kuchuja Watu waliokidhi vigezo vs wasiokidhi vigezo.
Mfano kwenye excel (macrons kama sijasahau) kuna namna inaweza kuchuja kulingana na vigezo unavyoiwekea.
Kumbe ni ivyo mkuu basi sawa ngoja tusubili tuone itavyokuwa
 
Screenshot_20220517-082446.png
 
Back
Top Bottom