zeebaba
Senior Member
- Apr 17, 2018
- 180
- 211
Sawa sawaTAWILEEE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sawaTAWILEEE
Mm tangu juzi rafiki angu tuliokuwa Tupo wote mda wote haniambii ila nimeshtuka Jana kavaa full uniform za sensa kumuuliza anasema katoka kwenye seminar, sikuamn mpaka aliponionyesha tablet walizopewaTaarifa inasema makarani wote wamepatiwa mafunzo,hii nchi ngumu sana.
NBS toeni ufafanuzi hapa #SOURCE AZAMTV[emoji116]
SENSA YA 2022 KUFANYIKA KIDIGITALI ZAIDI
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema kwa mara ya kwanza tangu #Tanzania ipate uhuru, sughuli ya sensa ya watu na makazi mwaka huu itaingiza maeneo ya vitongoji vyote nchini katika mfumo wa kidigitali na hivyo kurahisisha kazi ya kukusanya takwimu husika kwa njia rahisi na ya haraka zaidi.
Akizungumza na Jukwaa la Wahariri mkoani Morogoro, Mkuu wa Mifumo ya Ukusanyaji wa Taarifa za Kijiografia (GIS) na Kaimu Meneja wa shughuli za Kitakwimu, Benedict Mgambi amesema, sensa ya mwaka huu inayotarajiwa kufanyika Agosti 23-29 itakuwa ya kidigitali na ufanisi zaidi katika ukusanyaji wa taarifa tofauti na miaka iliyopita.
Alifafanua kuwa hilo litawezekana kwasababu makarani wote wamepatiwa mafunzo ya kutosha ya kutumia vishikwambi vyenye mifumo ya kidigitali kwa lengo la kupeleka taarifa moja kwa moja kwenye kanzidata ya NBS makao makuu pamoja na uwepo wa mfumo wa kuwafuatilia makarani wote popote walipo.
Tangu kuanza kwa shughuli ya sensa mwaka 1967 hadi 2012, sensa ya mwaka huu itakuwa ya kipekee na itahusisha idadi ndogo ya makarani kwasababu ya uboreshwaji wa miundombinu ya ufanyaji kazi.
Sensa mwaka ya mwaka hu, Tanzania inatarajiwa kuwa na watu milioni 61.3, wakati sensa ya kwanza mwaka 1967, Tanzania ilikuwa na watu milioni 12.3, mwaka 1978 ilikuwa na watu milioni 17.5, mwaka 1988 ilikuwa na watu milioni 23.1 na mwaka 2012 ilikuwa na watu milioni 44.9.
#AzamTVUpdates #AzamNews #Sesa2022View attachment 2265675
Huyo ni mkufunzi wale watakaoelekeza kwenye seminarMm tangu juzi rafiki angu tuliokuwa Tupo wote mda wote haniambii ila nimeshtuka Jana kavaa full uniform za sensa kumuuliza anasema katoka kwenye seminar, sikuamn mpaka aliponionyesha tablet walizopewa
Hapanaaaaa acha ligi, nilimuombea mm kazi ya karani mtandaoni ni form four mwenye fourHuyo ni mkufunzi wale watakaoelekeza kwenye seminar
Acha uongo wa kijinga basi. Hakuna mtu ameitwa kwenye hizo kazi, NBS wamesema wazi kuwa majina yatangazwa. Kumbuka mfumo ni open kwa kila mtu hivyo ni lazima majina yatangazwe na usaili ufanyike.Hapanaaaaa acha ligi, nilimuombea mm kazi ya karani mtandaoni ni form four mwenye four
Yani huyu ameaminishwa uongo huko na yeye ameamini kabisaAcha uongo wa kijinga basi. Hakuna mtu ameitwa kwenye hizo kazi, NBS wamesema wazi kuwa majina yatangazwa. Kumbuka mfumo ni open kwa kila mtu hivyo ni lazima majina yatangazwe na usaili ufanyike.
Kwahiyo unataka kusema kua wameishaitwa tayari??Hapanaaaaa acha ligi, nilimuombea mm kazi ya karani mtandaoni ni form four mwenye four
Ulisoma vizuri ile fomu ulojaza mkuu? Au kuna mtu alikujazia?Ebu tuseme tu ukweli hivi kwenye zile taarifa wanajuaje au wanatrace vipi kama mtu ameajiriwa au hajaajiriwa ?????[emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa maswali yako yana majibu hapo hapoEbu tuseme tu ukweli hivi kwenye zile taarifa wanajuaje au wanatrace vipi kama mtu ameajiriwa au hajaajiriwa ?????[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani pale kama mtu amedanganyaUlisoma vizuri ile fomu ulojaza mkuu? Au kuna mtu alikujazia?
Mimi nmeajiriwa lakini nikidanganya??We jamaa maswali yako yana majibu hapo hapo
Kama billions 350 za escrow zilipigwa, pesa za rada zaidi ya billion 100, pesa za Richmond zaidi ya billion 250, kigoda meremeta na EPA zaidi ya billion 400, trillion 1.5 zilipigwa na magufuli itakuwaje hiki kisensa zisifanyike hujuma, swala la utu, uzalendo, huruma aibu na staha unazo wewe tu sio hawa viongozi wetu, wanaroho ya nyoka tena mwenye sumu kali, periodKwahiyo unataka kusema kua wameishaitwa tayari??
Hayo majina ya walioitwa yametolewa lini na kwa njia gani??
Isijekua unabisha wakati hujui mkuu!!
Sidhani mkuu hata kama nchi ina upigaji wa kiwango gani ila huo ujinga sidhani kama wanaweza ufanya.
Yaani watu kibao waombe halafu wachague watu kimyakimya bila taarifa yoyote?? Hebu muulize jamaa ako vizuri.
Sawa nimeacha ujingaAcha uongo wa kijinga basi. Hakuna mtu ameitwa kwenye hizo kazi, NBS wamesema wazi kuwa majina yatangazwa. Kumbuka mfumo ni open kwa kila mtu hivyo ni lazima majina yatangazwe na usaili ufanyike.
Wale wa ngazi ya Taifa wanaendelea na seminar, kuanzia July 3 wataingia mikoani na wilayani.Mm tangu juzi rafiki angu tuliokuwa Tupo wote mda wote haniambii ila nimeshtuka Jana kavaa full uniform za sensa kumuuliza anasema katoka kwenye seminar, sikuamn mpaka aliponionyesha tablet walizopewa
Mpwayungu siku hizi unatoa boko tu sijui shida niniMm tangu juzi rafiki angu tuliokuwa Tupo wote mda wote haniambii ila nimeshtuka Jana kavaa full uniform za sensa kumuuliza anasema katoka kwenye seminar, sikuamn mpaka aliponionyesha tablet walizopewa
Kuchanganyikiwa huko [emoji3]We jamaa maswali yako yana majibu hapo hapo