Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Watendaji lazma wachague watu wao,majina yaliyotoka ni ya tehama yalitoka huko nyuma.

Humu wengi ni makarani na mm nilimuuliza mtedaji wangu akasema majina ya makarani hayawez kutoka hadi wao wachague.
Ila nilazima uwepo kwenye mkeka wa mwanzo au wanaenda chakua moja kwa moja mkeka ukitoka umetoka
 
Wadau wanasema kama ulikuwa hupokei SMS za sensa Mara tano kwa siku basi ujue haupo kwenye Mkeka[emoji3][emoji3][emoji3]yaan ilimradi mtu kasema tu

Mimi sikuomba hiyo kazi Ila nimetumiwa hizo SMS za kuhamasisha sensa kibao😂😂😂😂😂😂😂.
 
Watendaji lazma wachague watu wao,majina yaliyotoka ni ya tehama yalitoka huko nyuma.

Humu wengi ni makarani na mm nilimuuliza mtedaji wangu akasema majina ya makarani hayawez kutoka hadi wao wachague.
Ila nilazima uwepo kwenye mkeka wa mwanzo au wanaenda chakua moja kwa moja mkeka ukitoka umetoka

kuna mtu pia alisema kwenye mkeka wa mwanzo kila mtu mwenye sifa almost atakuwepo

Baaada ya hapo interview ndo inawapata wale 200500

Ambao wataenda semina
 
Watendaji lazma wachague watu wao,majina yaliyotoka ni ya tehama yalitoka huko nyuma.

Humu wengi ni makarani na mm nilimuuliza mtedaji wangu akasema majina ya makarani hayawez kutoka hadi wao wachague.
Ila nilazima uwepo kwenye mkeka wa mwanzo au wanaenda chakua moja kwa moja mkeka ukitoka umetoka
Mimi mtendaji nina ugomvi naye kisa mwanamke hapendwi anahonga tu na ana wivu kisenge

Sema hili halinitishi uzuri kwenye kamati hawezi kuwa pekee yake na hajui majina yangu matatu na hajui kama nimeomba na sidhani kama wanizakugua fomu ukikusanya wanazitupa huko

Sema nini wana ktk utafutaji hasa vijana tulioingia kitaa hatuna mkono wa kutushika tuwe makini na wanawake tuwaepuke kama utaweza
 
[emoji1787][emoji1787]
20220620_192735.jpg
 
Back
Top Bottom