Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Bora yako wewe dish lilokaa sawa na wote tunasubilia dayworker za mda za sensa
Naomba usiniquote kuanzia sasa na mimi sikuquote tena maana kwa levo ya ujinga uliofikia haustaili kujibiwa nahofia kuambukizwa ujinga #Nimemaliza
IMG_20220419_163155.jpg
 
Mimi mtendaji nina ugomvi naye kisa mwanamke hapendwi anahonga tu na ana wivu kisenge

Sema hili halinitishi uzuri kwenye kamati hawezi kuwa pekee yake na hajui majina yangu matatu na hajui kama nimeomba na sidhani kama wanizakugua fomu ukikusanya wanazitupa huko

Sema nini wana ktk utafutaji hasa vijana tulioingia kitaa hatuna mkono wa kutushika tuwe makini na wanawake tuwaepuke kama utaweza
C uliweka picha ya sura yako?
 
Leo siku imeisha haya mjipange kesho tena mje na uongo mwingine
 
Mimi mtendaji nina ugomvi naye kisa mwanamke hapendwi anahonga tu na ana wivu kisenge

Sema hili halinitishi uzuri kwenye kamati hawezi kuwa pekee yake na hajui majina yangu matatu na hajui kama nimeomba na sidhani kama wanizakugua fomu ukikusanya wanazitupa huko

Sema nini wana ktk utafutaji hasa vijana tulioingia kitaa hatuna mkono wa kutushika tuwe makini na wanawake tuwaepuke kama utaweza
Mapambano yanaendelea,mwanangu tumetoka mbali sana toka enzi za pithithibi hadi sensa nakukubali sana
Sema kazi za sabasaba umeona? UCC
ukipata zile unakua umepata kapensheni kabla ya sensa
 
Back
Top Bottom