Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Dah notification nyiiingi nikajua kuna lolote kumbe Chenga[emoji2211][emoji2211][emoji2211]
 
Majina yanakuja kwa kishindo utashangaa siku unaona notification 100 hata kabla hujaona kwenye timeline tayari uzi wake ushaanzishwa sahivi huku ni uongo
Ina maana ile ratiba ya sensa iliyokuwa inasema tarehe 20 mpaka 23 wanatangaza majina ilikuwa nifake nashidwa kuelewa ikifika kesho majina hayajatangazwa hamtaniona tena kwenye thread yenu
 
Baada ya kupata Kazi ya ukarani wa sensa
 
Ina maana ile ratiba ya sensa iliyokuwa inasema tarehe 20 mpaka 23 wanatangaza majina ilikuwa nifake nashidwa kuelewa ikifika kesho majina hayajatangazwa hamtaniona tena kwenye thread yenu
Ilikuwa nyuma ile baada ya kuongeza deadline haikuwa fake
 
Back
Top Bottom