Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

hii imefanyika au mimi ndio sina habari
Interview ilikua ni 29 may - 16 june

Hahahahaa [emoji23][emoji23]hii ratiba ni kwamba ipo nyuma ama Mimi ndo sjui maana ya usaili
JamiiForums-1571535607.jpg
 
Mimi mtendaji nina ugomvi naye kisa mwanamke hapendwi anahonga tu na ana wivu kisenge

Sema hili halinitishi uzuri kwenye kamati hawezi kuwa pekee yake na hajui majina yangu matatu na hajui kama nimeomba na sidhani kama wanizakugua fomu ukikusanya wanazitupa huko


Sema nini wana ktk utafutaji hasa vijana tulioingia kitaa hatuna mkono wa kutushika tuwe makini na wanawake tuwaepuke kama utaweza
Ng'ombe
 
Mimi nikiona post yako yeyote huwa naipuuza coz najua bado upo kwenye stage za mwisho za Puberty hivyo dishi lako halijakaa sawa.
Sio kila alieko kwenye puberty dish lake halija kaa sawa mkuu.

hawa wengine ni zao la kuishi kwa shemeji kila kitu bure..
 
Back
Top Bottom