Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Mimi jina langu nishaliona mkuu Sina wasi🔥
Tuombe tuwemo tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuombe tuwemo tu.
Umeliona wapi na mm nikaangalie ndgu yangu!!?Mimi jina langu nishaliona mkuu Sina wasi🔥
Hii nchi bhanaa!?Subirini walimu wamalize mitihani ya kumaliza mhula wa kwanza
Kama bado watakuwepo hai au uraianiWatakaokosa hizi nafasi napendekeza wapatiwe nafasi za moya kwa moya sensa ya 2032
Watahesabu wafungwaMaana kuna wengine watakuwa magerezani
Ikiwa ivo mi na cash out hera yangu ya application [emoji16][emoji16]ikipita tar.5 July 2022 na majina ya sensa hayajatoka mniite mbwa nipo nimekaa palee[emoji117][emoji117][emoji117]
Mkamaria hela ya sensa utabetia utaliwa yote [emoji23][emoji23][emoji23]Ikiwa ivo mi na cash out hera yangu ya application [emoji16][emoji16]
Mkuu relax, kunywa maji au juice ya bariiiidi afu rudia kusoma tena hope utaelewa hiyo taarifa.Kwamba me ndo sijaelewa ama??? Yaan wana ajiraportal wenzangu wakati sisi tunasubiri majina yatoke sijui usaili, kumbe wao washavuka hiyo hatua, wao wako wanaendesha mafunzo kwa ngazi zote. Ni ngumu kumeza asee
View attachment 2277742
Uwiii mpaka watoke huko watendaji si ni mwezi wa naneMkuu relax, kunywa maji au juice ya bariiiidi afu rudia kusoma tena hope utaelewa hiyo taarifa.
Ova.
N.b watendaji wameanza semina leo mjini iringa so before 4/7 majina yatakua mikononi mwenu
Mkuu inawezekana nilianza kujua kusoma kabla yako na haina haja ya mimi kurudia kusoma hiyo post.Mkuu relax, kunywa maji au juice ya bariiiidi afu rudia kusoma tena hope utaelewa hiyo taarifa.
Ova.
N.b watendaji wameanza semina leo mjini iringa so before 4/7 majina yatakua mikononi mwenu
Kwan haya majina ni ya nini wakuu?View attachment ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUSHIRIKI SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022.pdfUwiii mpaka watoke huko watendaji si ni mwezi wa nane
Sasa mkuu kwa kuangalia tuu na akili ya kawaida kulikuwa na haja gani yakumtumia mjomba nauli angali na wewe una dole gumba? Unadhani ni mfumo gani watatumia kugundua ilo dole gumba ni la anko kutoka tabora?, tena kutoka kwenye karatasi mifumo mingine ipo tuu ili malengo yatimie......poleHuwezi amini katika barua moja ya mdhamini pasipo kujua nilimuweka mjomba wangu alikuwa Tabora nikaunga nauli nikamtumia akaja kutia dole ngumba lake moja nikaunga nauli ya kumrudisha Tabora. Sasa inakuaje tena mnaleta habari za wale waliohusika na postcode kuwa must be wawekwe tena kwenye ukarani bila kipingamizi. Daah inasikitisha sana
Mafunzo ya wakufunzi ambayo yameendeshwa kwa 21 days yanafungwa kesho na makamu wa pili wa Rais wa SMZ, hao wako mia nne na ngapi huko na ndo wanakuja huku chini kufundisha timu za mkoa na wilaya, muwe mnaangalia taarifa za habari aisee.Uwiii mpaka watoke huko watendaji si ni mwezi wa nane
Iyo geresha inazunguka toka may mwishoni ,watu wanapigwa hela kujinga kwa mihemko list bado haijatokaKwan haya majina ni ya nini wakuu?View attachment 2277775
Ogopa sana members wa mtandao unaitwa JF, humu wapiga ramli tumo wengi sanaSasa mkuu kwa kuangalia tuu na akili ya kawaida kulikuwa na haja gani yakumtumia mjomba nauli angali na wewe una dole gumba? Unadhani ni mfumo gani watatumia kugundua ilo dole gumba ni la anko kutoka tabora?, tena kutoka kwenye karatasi mifumo mingine ipo tuu ili malengo yatimie......pole
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huwezi amini katika barua moja ya mdhamini pasipo kujua nilimuweka mjomba wangu alikuwa Tabora nikaunga nauli nikamtumia akaja kutia dole ngumba lake moja nikaunga nauli ya kumrudisha Tabora. Sasa inakuaje tena mnaleta habari za wale waliohusika na postcode kuwa must be wawekwe tena kwenye ukarani bila kipingamizi. Daah inasikitisha sana
Hatujafikia hii hatua labda kwenye usajili wa line za simu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulituma nauli na madole gumba unayo kabisa we jamaa hauko serious