Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Hakuna usaili NBS wamepokea malalamiko mengi ya hofu ya haki kutotendeka huko ambako usaili utafanyika hivyo wameamua kuwa waamuzi wa mwisho.

Omba Mungu jina lako liwepo kwenye mkeka wa NBS
Taarifa hizi mnapata wapi aisee[emoji3][emoji848]
 
Wewe bwana kwa nini usikubali tu ni jobless, kujifanya mtendaji ya nini wakati huna Ramani ,hii ndo inafanya watu wakose Imani na watendaji
Siwezi kulazimisha uamini ila ndo ujue hivyo huku tupo watu wa kila aina na si kila taarifa inatolewa uiamini rejea uzi wa Dark day ukielewa kilicho andikwa mule ndo utaweza elewa nachosema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmepitia comments zako mbili za mwisho, nmejiridhisha pasina shaka kuwa una chuki na degree holders, unaleta kigezo cha kujuana na watendaji mara wameanza kutumia smartphone wakiwa chuo... Mkuu stay calm hauna point yoyote tukutane kwenye usaili.

Over.
nakazia
 
Hahahaha watu 80000 zinawachanganya..jitahidi muajiriwe maofisini mle per diem za rate hio mpya ya mama Samia mzoee kushika hela.tatizo watu wengine NI wasomi mpo jamii forum kwa wajanja lakini hata ajiraportal hamuingii wengine account ya ajiraportal hamna mnasubiri kuitwa kazini..pambaneni asee hakunaga connection NI ujanja wsko,+akili yako+haiba yako+bahati yako....mnashangazwa na 80000 wakati ndo rate husika ya mtumishi au mmesshau km hizi pia NI Ajira isipokuwa za muda..ombeni days ziwe 35 km walivyosema ktk mwongozo before ratiba hakuishake.
 
Ha ha ha
 
Nakumbuka miaka ya nyuma huna kazi ulikuwa unalalamika kweli [emoji16] ukaja na uzi watu waajiriwe kwa mikataba wapishe wengine kwa zamu zamu

Ulivyootea utumishi kuna mwamba akakuulize vipi ule msimamo wako wa kupishana ukamjibu kila mtu apambane na hali yake
[emoji16][emoji16][emoji1787]

Kwahyo nashangaa unavyotushangaa jobless kwamba hayo mambo hatujazoea wakati tulikuwa wote kwenye misoto

Sema nini mwanangu nikaribishe huko soon nitimba utumishi kijana wa Manzese

Expendable chama wa gomz ,Monaco ganz ,w.c.n nakadhalika watanikoma ngoja niingie kwenye system nitavimba sana

Mnyungu tunampiga pitori
 
Back
Top Bottom