Atomic orbital
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 374
- 484
Sawa afisa usahilisubiri interview uone kama utapita,niite shoga ukipita kwenye usaili nipo hapaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa afisa usahilisubiri interview uone kama utapita,niite shoga ukipita kwenye usaili nipo hapaaa
Degree ya IT ndio nini ata watoto wa darasa la tano ukiwapa iyo kazi wanaifanya kwa ufanisi.Haya majina yaliyotoka wamechambua akina nani? Maana kuna vituko vingi sana.
Kwa mfano rafiki zangu wana degree za IT ila hawamo kwenye shortlisted ya kwenda kufanya usaili ila mtu cheti cha short course za ICT jina lake limo..
nakushauri tu si kwa ubaya lakini secure a good job Broh utapata semina za kutosha posho na marupurupu kibao mwaka 2032 zikitangazwa ajira za mda uwaachie vijana walau wakusanye mtaji wa umachinga wewe na elimu yako sio wa kuitwa kwenye usahili na vijana wa form iv form six leaversNi Tanzania tu form 4 anawekwa kwenye kundi sawa kwenye ajira na mwenye masters na wote wanasubiri kufanyiwa usaili na darasa la saba. Nchi nyingine panga lenye makali kuwili lingepita na form 4 wote.
Sio mbaya nanyi mpate kitu Cha kusimulia wajukuu mkekani enzi hizo mkiwa wahenga' hapo zamani za kawe kulikuwa na usaili ...'
TehamaUkarani au tehama?
Napata shida kuamini kama kweli NBS wamechambua Yale majina ya watu walioomba mtandaoni au walioocha nakala kwa watendaji , MTU kaomba ukarani ila kapangiwa kwenda kufanya usaili wa Tehama.Ndugu wawili wilaya XYZ mmoja kasoma ualimu na mwingine uhasibu wote wamepata afisa tehama ....[emoji23][emoji23]kifupi hawana hata vyeti vya shoti kozi ya Tehama ila wamepata nbs wametishaaaa mamaeee
Inaweza pungua lak 8 ?Anna makinda anasema hakuna pesa za kumwaga eti utegemee kutoka na million anadai ni zoezi LA kizalendo itatakiwa itumike hela ndogo as much as possible ukizingatia expectations za vijana walio wengi wanahisi watatajirika kupitia zoezi
Bado mkuuruvuma-songea mc
naomba mwenye pdf aweke
Mimi mwenyewe kwenye kozi ya ualimu nimesoma kozi ya ICT, Sasa sijui mdau analalamikia nini!!?Mkuu kwenye ualimu huwa kuna course inaitwa COMPUTER LITERACY FOR TEACHER huwa inahusiana na mambo kama hayo. Kuwa mpole
550,000 na bado kamisaa kasema itumike pesa ndogo zaidi kadri iwezekanavyo. Hivyo hata hiyo 550,000 ikilipwa niiteni [emoji240]. Mtanikuta nimekaa palee.. .[emoji117]Inaweza pungua lak 8 ?
mi nilisema wakanishambulia hapa wanaondoka na 300k tu550,000 na bado kamisaa kasema itumike pesa ndogo zaidi kadri iwezekanavyo. Hivyo hata hiyo 550,000 ikilipwa niiteni [emoji240]. Mtanikuta nimekaa palee.. .[emoji117]
Mikopo ipo halmashauri kwa vijana (mwisho miaka 35). Ila upatikanaji wake ni kwa mbinde sana. Ingetolewa kama individual loan na siyo kwa vikundi kwani kila kijana ana malengo yake na uwezo wake. Vikundi vingi vimefelikuna mahala inabid jobukess tutizamwe hata tutengewe fungu la kutukwamua kwa mikopo isiyo na riba
Umeandika Upupu Tuuu,, hao wasomi wanausumbufu gani? yaan Ww unauhakika Kuwa Wasomi ni wasumbufu kuliko Form 4 ebu lete ushahidi hapa....Eti uchukue kilaza aliyepata mswaki wa hesabu akahesabu watu unamuacha Msomi mwenye uelewa mpana zaidii wa hesabu na Technologia...... Alafu unapanua Domo lako kuongea na kuandika hovyo hovyo,,,,,,, Ebu waacheni waliokomaa Na Elimu mkashindwa kuwaajiri Wapate pesa za kujiajiriiSielewi,kwani walimu hta wa primary hakuna mwenye degree/master? Hakuna ajuae computer?? Naona mnawananga sn walimu
Afu pia hao fm4 hawakupaswa kupata au?? Ni degree tu ndo wenye sifa??? Kupata au kukosa ni kudra ya mwenyezi mungu,kuwa na CHETI Cha tehama haimaanishi ni mtaalam sn kunizidi mm nisie na hcho kikaratasi..!!
Mwisho,,uliekosa shukuru na uliepata shukuru pia,isingewezekana wooooote mpate HAIWEZEKANI..! Na kwataarifa yenu ,wenye elimu ndg wanaangaliwa sn coz hawana usumbufu na ujuaji km nyinyi wasomi wa miaka hii