Atomic orbital
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 374
- 484
Wale waliochaguliwa majina yametumwa wilayani ili kuweka mambo ya kiutawala Sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa mwishoUpo mlango wa ngap mkuu
Jina langu halijatoka, hivi hakuna uwezekano wa kuzamia kweli!?Nimetoka kwenye usahili swali lililonipiga chenga na kutatazika kwenye kujibu ni ; umepelekea sehemu kuna shida ya usafiri utafanyaje ? bado nusu niseme nitakodi bodaboda.
Kwani upo kata ipi ?Jina langu halijatoka, hivi hakuna uwezekano wa kuzamia kweli!?
Kuna pisi za uhakika mpaka siamini kwani nilitegemea kata ya kivule kukuta pisi za mkoa mara wengi lakini nimekuta na nyingine utasema Paula katimba na shosti zake.Upo wapi mkuu nije nitege....naweza kuambulia kimwali.
Nasikia bagamoyo kuna uhaba emu fatilia hukoJina langu halijatoka, hivi hakuna uwezekano wa kuzamia kweli!?
Hata watakuwa ni walimuMdogo wangu ananiambia kakutana na panelist vilaza hawajui ya kuwa majukumu ya karani wa sensa ndio kazi za karani wa sensa ......
Kwa maana walimuuliza kazi za karani yy akaanza kuwashushia kje eti gafla waka mwambia anatqja majukumu na wao wanataka kazi za karani dogo akasema nyie nyote ni vilanza dogo akasepa
Mbona leo watu hawaweki maswali humu? [emoji4]Ikitokea umekutana na mtu hataki kuhesabiwa utachukua taratibu gani ?
Duh...ningekuwa karibu ningezamia aisee, basi tu.Nasikia bagamoyo kuna uhaba emu fatilia huko
Na yule ndugu aliyefanya interview ila jina halipo ajiongeze na yeye uko bagamoyo
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app