Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

[emoji116][emoji116][emoji116] Nisaidie jibu

Break this algorithm to nth number sqrt()
-float Q_rsqrt( float number )

{

long i;

float x2, y;

const float threehalfs = 1.5F;

x2 = number * 0.5F;

y = number;

i = * ( long * ) &y; // evil floating point bit level hacking

i = 0x5f3759df - ( i >> 1 ); // what the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala

y = * ( float * ) &i;

y = y * ( threehalfs - ( x2 * y * y ) ); // 1st iteration

// y = y * ( threehalfs - ( x2 * y * y ) ); // 2nd iteration, this can be removed

return y;

}
Siamini kama umepoteza muda wote kuchapa hii code, sometimes ni vizuri ku skip baadhi ya unnecessary leagues BTW kuna mengi ya kufanya kwa muda huu.. Ushauri tu
 
Siamini kama umepoteza muda wote kuchapa hii code, sometimes ni vizuri ku skip baadhi ya unnecessary leagues BTW kuna mengi ya kufanya kwa muda huu.. Ushauri tu
Kiongozi nadhani msomi wetu amesema anahitaji swali lolote la teknolojia yupo vyema kuliko sisi tuliopoteza muda kwenda vyuo.Samahani pia
 
Siamini kama umepoteza muda wote kuchapa hii code, sometimes ni vizuri ku skip baadhi ya unnecessary leagues BTW kuna mengi ya kufanya kwa muda huu.. Ushauri tu
Ashamaliza kufanyiwa usaili huyo mwache apumzike mkuu 😄😄
 
Nyie mmeulizwa ngoma ngumu...sehemu nyingine taja jina la diwani..mtendaji..Sensa ya mwisho..jukumu la karani
Ukiwa mtu wa mwisho mwisho wajuba wanakua washachoka hawana maswali konki wala hawataki kupoteza muda sana.
Ila monie mzee wanakiaga na maswali ya kiwaki sana.
 
Wilaya ya kyerwa kagera Walioomba maudhui wote wamehamishiwa kwenye Ukarani halafu Wasimamizi wa maudhui wamechukuliwa waalimu
 
Mdogo wangu ananiambia kakutana na panelist vilaza hawajui ya kuwa majukumu ya karani wa sensa ndio kazi za karani wa sensa ......

Kwa maana walimuuliza kazi za karani yy akaanza kuwashushia kje eti gafla waka mwambia anatqja majukumu na wao wanataka kazi za karani dogo akasema nyie nyote ni vilanza dogo akasepa
Hahahahah
 
Back
Top Bottom