Xmonster
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 1,644
- 2,382
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bado Frank Wanjiru atakwambia bila connection hata hao 19 hawatoboi [emoji1][emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bado Frank Wanjiru atakwambia bila connection hata hao 19 hawatoboi [emoji1][emoji1]
Aisee Aisee Aisee, Hii ni Laana Kwa Taifa[emoji1751][emoji1751]
Mkuu sio laki 5, ni zaidi ya laki 9. Nakuhakikishia hiliWacha tuzisakame laki 5
Jina lako linasadifu yaliyomoMkuu sio laki 5, ni zaidi ya laki 9. Nakuhakikishia hili
Acha bhanaaaaMkuu sio laki 5, ni zaidi ya laki 9. Nakuhakikishia hili
Nakwambia hali halis, usione watu wanapambania hv , waratbu elimu kata wanakula 80000 kwa siku hadi sasa wapo kozi.Acha bhanaaaa
Pipo wana act kama majasusi wabobezi humuRamli inshort hapa JF hakuna Mtu mwenye taarifa za uhakika kila mtu anabahatisha tu.
Kama ivyo sawaKama kata yetu wamebandika kbsa wanahitajika wangapi
Hawana lolote Kama huyo Frank Wanjiru I guess is on dieing maana depression zipo Juu kisa Ajira ya Sensa ya muda .
Mtu alipata mkopoNBS wamefanya uhuni mkubwa kwa majobless wenye degree kwenye kazi za muda za sensa
Nafasi ya Msimamizi wa Maudhui imewekwa kama geresha tu kwakua tayari walishapanga watu wao ambao ni walimu wakuu na wengi walioomba hizo nafasi ni vijana wenye bachelor.
Nafasi ni 3 kwa kila kata hii ni kwa Tanzania nzima na hawakusema hapo awali ambapo pia Nafasi hizo ni za Walimu wakuu pekee..Huu ni uhuni na ubabaishaji wa khali ya juu.
Wenye mamlaka bado mna muda wa kubadilisha hili ili kila mwenye sifa na vigezo aweze kupata achaneni wa hao walimu wakuu wameshalamba asali vya kutosha,wapeni nafasi vijana wajikwamue kiuchumi.Mkishindwa kabisa wasogezeni kwenye ukarani ila sio kuwapotezea kabisa,hii itawavunja moyo wa kulipigania taifa lao.Nawafahamu vijana wengi wenye akili ya maisha ukimpatia laki 5 cash each ameshatoboa na hatowasumbua tena masuala ya ajira..[emoji120][emoji120]
Hii nchi yetu sote acheni unaa
Mmoja mkurungwaTehama ni wangap wanaohitajika Kwa kata
Unaumiza moyo wangu[emoji25][emoji25]Mtu alipata mkopo
Meals and accommodation [emoji818]
Books and stationary [emoji818]
Special faculty [emoji818]
Field [emoji818]
Tuition fees [emoji818]
Akashindwa kujibana Leo hii unasema akipewa laki 5 itamsaidia
kingine msomi gani alishindwa kufanya tafiti ndogo kuona kwamba mjini kutakuwa na ushindani Mkubwa hususani kitengo cha usimamizi wa maudhui au tamaa ndio aliweka mbele