Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

P
Paper la leo halikuwa gumu kama lile la TASCO na ISIC pale nisipo piga 80> nakata rufaa lisahishwe tena[emoji28][emoji28]
Majaribio kama hayo yakifanyika yanatakiwa yasahihishwe na wakufunzi wa tarafa x,namanusha wabadilishane,nilichongundua wanaosahihisha ni waratibu(mek) wa kata husika wanajuana na makarani so kama ww ni jobless mek hakujui imekula kwako
 
Kitu kikubwa ninachoona cha kutumia walimu katika hizi kazi ni urahisi wa kuwabana pale mambo yanapoenda kombo. mfano tu mie jobless nipoteze kishikwambi hio pesa ya kunikata nilipe hiko kishikwambi ntaitoa wapi.
Yan we unauliza kweli au unatania au kale kamkataba haujasoma
 
Nayo ni sababu ukweli. Hata walimu huku wanapozingua maripo walikuwa wanatuambia majobless tupambane dai haki yetu wao wanaweza banwa na mkurugenzi wao kiutumishi wakanyoshwa. Kama sasa limekuja swala la malipo ya nauli zinatakiwa rudishwa kwa kila karani sasa kwetu wanasema tuwape tiketi za usafiri watu tumeamua sema tulipwe flat wote tu kama 40 ni nauli alipwe kila karani.
Sie tumepewa 10k kila mtu
 
Hayo majukumu unayafanyaje kama toka umefika unasomaga kama karani,tehama haiko hivo jombaa
Kama tumesoma wote darasa moja mwanzo mwisho kwann IT asiweze fanya majukumu ya karani, mie naseme haya kutokana na hali jinsi ilivyo huku
 
P

Majaribio kama hayo yakifanyika yanatakiwa yasahihishwe na wakufunzi wa tarafa x,namanusha wabadilishane,nilichongundua wanaosahihisha ni waratibu(mek) wa kata husika wanajuana na makarani so kama ww ni jobless mek hakujui imekula kwako
Yeah kuna makosa baadhi yanajitokeza kwenye usahihishaji na wqliposema wenye highest marks wnabaki kudodosa dodoso la jamii ndo kabisa yani
 
Yeah kuna makosa baadhi yanajitokeza kwenye usahihishaji na wqliposema wenye highest marks wnabaki kudodosa dodoso la jamii ndo kabisa yani
Wakifanya hivi watakua wanazingua sana. Huku kwetu kuna watu walishapewa maswali na majibu ya Jaribio la I mpaka la III la jana (Jana nimeona kwa macho yangu, nikabaki nashangaa tu na u-jobless wangu). Hawa wanaonekana wana highest pass marks wakati utendaji wao wa kazi uwandani unatia mashaka.
Me nadhani Wakufunzi wangepewa nafasi ya kufanya sorting out in reference to class sessions. Kwa mfano darasa lina watu 70 ni rahisi kukumbuka. Mkufunzi aje darasani, a-pick waliokua sharp kujibu maswali aliyokua akiuliza mara kwa mara. Lakini kwa kigezo cha ufaulu wataharibu kabisa, watu walipata 100% mitihani yote ya awali lakini mtiti upo kwenye Kishikwambi.
 
P

Majaribio kama hayo yakifanyika yanatakiwa yasahihishwe na wakufunzi wa tarafa x,namanusha wabadilishane,nilichongundua wanaosahihisha ni waratibu(mek) wa kata husika wanajuana na makarani so kama ww ni jobless mek hakujui imekula kwako
Yaani ulichoandika ndio hicho kinachofanyika hapa kituoni kwetu. MEK wa Kata hii tulipo (ambapo ni makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya X) ni mmoja kati ya wanao sahihisha. So, hili dodoso la Jamii ingawa halihitaji watu wengi sana (za ndaniiii huku kwetu wanahitajika <40 na >35) ni wazi watapewa walimu na jobless wenye connection.
 
Tanzania itakombolewa kifikra Siku walimu wakiamua kufanya maboresho juu ya mitazamo yao

waling'ang'ania nafasi za Sensa cha ajabu vitest vidogo tu vinawatoa mijasho wanahangaika mnoo mpaka wanadiriki Kuiba mitihani ili wasipate alama za chini lakini pamoja na Kuiba mtihani ila wanaishia kupata 70-80 wakati kuna vijana bila Kuiba mtihani wanapata 90-100

Wamejichomeka kwenye usimamizi wa maudhui ilihali vishikwambi ni changamoto kutuma na kupokea kazi tu ni kipengele

Wengine ni wazee sana hawataweza kuhoji kaya 25 Kwa Siku wakizunguka huku na Kule baadhi nimewasikia wakisema baada ya semina watajiengua kwani kazi ni nzito mnoo
Kuropoka ropoka siyo kuzuri ujue

Utaambiwa utuoneshe hao waliosema hivyo halafu uanze kulialia hapa
 
Kwa sababu tu ni mkuu wa shule apewe tu bila kujali weledi mtu hawezi kutumia mfumo wa CAPI dodoso lenyewe halijui ,,,atalijuaje na huwa anaiba mtihani

Msimamizi hajui ni watu gani wanafaa kuhesabiwa na ambao hawastahili kuhesabiwa

Sasa eti huyo ndiye mtu anaetakiwa kuhakiki kazi ya karani afu alinganishe dodoso lako na lake yasipoendana ni kwamba karani ameharibu kazi

Kumbe sivyo karani yuko sahihi ila msimamizi ni kilaza na amepewa usimamizi sio Kwa sababu ameiva ni vile eti ni mkuu wa shule
Acha ulimbukeni dogo... kumbuka hizi ni siri kama zilivyo siri nyingine za kitakwimu ulizosoma darasani
 
Wakifanya hivi watakua wanazingua sana. Huku kwetu kuna watu walishapewa maswali na majibu ya Jaribio la I mpaka la III la jana (Jana nimeona kwa macho yangu, nikabaki nashangaa tu na u-jobless wangu). Hawa wanaonekana wana highest pass marks wakati utendaji wao wa kazi uwandani unatia mashaka.
Me nadhani Wakufunzi wangepewa nafasi ya kufanya sorting out in reference to class sessions. Kwa mfano darasa lina watu 70 ni rahisi kukumbuka. Mkufunzi aje darasani, a-pick waliokua sharp kujibu maswali aliyokua akiuliza mara kwa mara. Lakini kwa kigezo cha ufaulu wataharibu kabisa, watu walipata 100% mitihani yote ya awali lakini mtiti upo kwenye Kishikwambi.
Kwan kujibu maswali ndo uende dodoso la jamii ..???
Unaweza ukawa sharp kujibu maswali yanayoulizwa ila kwenye mitihani na kutumia kishkwambia Ukafeli.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom