Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Naishukuru sensa iseee mimi sikupata nafasi na Wala sikuomba kabisa ila Kuna mwanamke nilimuombea na akapata nafasi ya tehama kupitia mm coz mm nina connection kubwa so nkammegea shavu mungu sio wallence karia demu Jana kanipa 450,000 kasema hyo kapata kwenye semina yeye atabaki naya malipo ya sensa {NB sikumuomba na Wala sio Dem wangu}
 
Naishukuru sensa iseee mimi sikupata nafasi na Wala sikuomba kabisa ila Kuna mwanamke nilimuombea na akapata nafasi ya tehama kupitia mm coz mm nina connection kubwa so nkammegea shavu mungu sio wallence karia demu Jana kanipa 450,0000 kasema hyo kapata kwenye semina yeye atabaki naya malipo ya sensa {NB sikumuomba na Wala sio Dem wangu}
Duuu,mzee milioni nne na laki 5? Daa huyo demu anakukubali,kwani yeye ni mkufunzi?
 
maksi nyingi Haisadii chochote ili mradi ufaulu maana Kuna wengi Wana hizo ila wametemwa kwenye dodoso la jamii ndo najiuliza kigezo ilikuwa nn...!!!

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kigezo kujuana na watu walikuwa wanapga simu kwa watendaji,wasimamizi na wawwzeshaji ili wapate hyo nafasi na kuna watu wana wastan wa 50 wametoboa. fresh
 
Kwahiyo mtu afanye mahangaiko yote hayo kwa ajili ya elfu 40?
Acheni makasiriko vijana wenzangu mambo mengine ni bahati tu hamuwezi kwenda wote....then kama hilo dodoso la jamii nasikia halina pesa yoyote wanalipa 20k/day ndio iwafanye mtoe povu lote hilo?
 
Kwetu sijaona Kwenye Dodoso la jamii kama kuna mtu ana chini ya 80% average

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo mtu afanye mahangaiko yote hayo kwa ajili ya elfu 40?
Acheni makasiriko vijana wenzangu mambo mengine ni bahati tu hamuwezi kwenda wote....then kama hilo dodoso la jamii nasikia halina pesa yoyote wanalipa 20k/day ndio iwafanye mtoe povu lote hilo?
20k ni ziada ya malipo.
 
Back
Top Bottom