The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
Yes boss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes boss
Hongera chiefhahahaha nashukuru mimi nimepanda cheo kutoka ukarani mpaka usimamizi wa maudhui na pia nitakua TEHAMA wameniona nipo vyema kote.
maksi nyingi Haisadii chochote ili mradi ufaulu maana Kuna wengi Wana hizo ila wametemwa kwenye dodoso la jamii ndo najiuliza kigezo ilikuwa nn...!!!Mie binafsi sio mjibuji wa maswali darasan lakin linapokuja swala la paper hunikamati.
Sie huku overall average ana 94>
Duuu,mzee milioni nne na laki 5? Daa huyo demu anakukubali,kwani yeye ni mkufunzi?Naishukuru sensa iseee mimi sikupata nafasi na Wala sikuomba kabisa ila Kuna mwanamke nilimuombea na akapata nafasi ya tehama kupitia mm coz mm nina connection kubwa so nkammegea shavu mungu sio wallence karia demu Jana kanipa 450,0000 kasema hyo kapata kwenye semina yeye atabaki naya malipo ya sensa {NB sikumuomba na Wala sio Dem wangu}
[emoji23][emoji23][emoji23] Huyo demu itakua ndio yule mama mkuu wa sensa taifa labda posho yake ndio inawezafika mil4Duuu,mzee milioni nne na laki 5? Daa huyo demu anakukubali,kwani yeye ni mkufunzi?
Hahah[emoji23][emoji23][emoji23] Huyo demu itakua ndio yule mama mkuu wa sensa taifa labda posho yake ndio inawezafika mil4
Mmmhtyping error ni 450,000
Ahaa saf sana Koo kakupa akakuomba utangaze etytyping error ni 450,000
HahahahahaaAhaa saf sana Koo kakupa akakuomba utangaze ety
Subir KUHESABIWA Mzee 😂Jamani hawa watu mbona hawatoi hela za semina
Mkuu makarani total milion moja laki moja na hamsini elfu,Kwani malipo ya kazi kwa makarani,wasimamizi na tehama yapoje?
Kigezo kujuana na watu walikuwa wanapga simu kwa watendaji,wasimamizi na wawwzeshaji ili wapate hyo nafasi na kuna watu wana wastan wa 50 wametoboa. freshmaksi nyingi Haisadii chochote ili mradi ufaulu maana Kuna wengi Wana hizo ila wametemwa kwenye dodoso la jamii ndo najiuliza kigezo ilikuwa nn...!!!
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Tulieni vijana wa temeke asali ishafika mlangoni mwenuDaaah temeke temeke daaah
Kwahiyo mtu afanye mahangaiko yote hayo kwa ajili ya elfu 40?Kigezo kujuana na watu walikuwa wanapga simu kwa watendaji,wasimamizi na wawwzeshaji ili wapate hyo nafasi na kuna watu wana wastan wa 50 wametoboa. fresh
Kwetu sijaona Kwenye Dodoso la jamii kama kuna mtu ana chini ya 80% averageKwahiyo mtu afanye mahangaiko yote hayo kwa ajili ya elfu 40?
Acheni makasiriko vijana wenzangu mambo mengine ni bahati tu hamuwezi kwenda wote....then kama hilo dodoso la jamii nasikia halina pesa yoyote wanalipa 20k/day ndio iwafanye mtoe povu lote hilo?
20k ni ziada ya malipo.Kwahiyo mtu afanye mahangaiko yote hayo kwa ajili ya elfu 40?
Acheni makasiriko vijana wenzangu mambo mengine ni bahati tu hamuwezi kwenda wote....then kama hilo dodoso la jamii nasikia halina pesa yoyote wanalipa 20k/day ndio iwafanye mtoe povu lote hilo?