Optimistic_
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 2,347
- 1,850
Kifuatacho upikaji data utaanzaMakarani wataanza pika data kma washaanza kutisha kwamba kaya 150 hujafikisha ulipwi ikiwa mtu kamaliza Ea yake na kaya hazijafika mtu huyu je atakubali kukatwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifuatacho upikaji data utaanzaMakarani wataanza pika data kma washaanza kutisha kwamba kaya 150 hujafikisha ulipwi ikiwa mtu kamaliza Ea yake na kaya hazijafika mtu huyu je atakubali kukatwa
Hili haliwezekani....hakuna data za kupika awamu hiiKifuatacho upikaji data utaanza
Makarani wataanza pika data kma washaanza kutisha kwamba kaya 150 hujafikisha ulipwi ikiwa mtu kamaliza Ea yake na kaya hazijafika mtu huyu je atakubali kukatwa
Makarani wameshatumia kibunda cha sensa sas hv wametulia!![emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaa bado lak 3Makarani wameshatumia kibunda cha sensa sas hv wametulia!![emoji23][emoji23][emoji23]
BadoJamani huko DSM vipi kumeisha tayari???
Ela zimeshakataMakarani wameshatumia kibunda cha sensa sas hv wametulia!![emoji23][emoji23][emoji23]
Unazungumzia hayo malipo wakati sisi hata ya nyuma hatujapataWakuu hizi siku Saba zilizoongezwa Kuna malipo yoyote?
Hayo ya nyuma nina uhakika yatapatikana. Ila wasiwasi wangu ni juu ya hizi siku saba za ziada zilizoongezwa ambazo sidhani kama ni sehemu ya mkatabaUnazungumzia hayo malipo wakati sisi hata ya nyuma hatujapata
Inakuwaje wengine walipwe , wengine waachee doroUnazungumzia hayo malipo wakati sisi hata ya nyuma hatujapata
Mkataba wa sensa ya watu na makazi ni siku 12, saba zipi zimeongezwa?Hayo ya nyuma nina uhakika yatapatikana. Ila wasiwasi wangu ni juu ya hizi siku saba za ziada zilizoongezwa ambazo sidhani kama ni sehemu ya mkataba
Sensa ya watu na makazi ilipangwa kwa siku 6 tarehe 23 mpaka 28 kisha sensa ya majengo kwa siku tatu kuanzia tarehe 29 mpaka 31 kisha tarehe 1 ni kukabidhi vifaa na malipo ya mwisho. Hizo 12 ni zipi?Mkataba wa sensa ya watu na makazi ni siku 12, saba zipi zimeongezwa?
Mkuu ulisoma mkataba vizuri, mkataba ulikuwa unaanza tar 21 mbaka tar 1 ambapo ni siku 12, sensa ya watu ni siku 7 yani tar 23 hadi 29, then 30,31 na 1 ni sensa ya majengo, siku ya kukabidhi vifaa haikuwa kwenye siku za mkataba. ,wengi walimnukuhu vibaya mama makinda alivyosema sensa ya watu itakuwa siku 7 wakajua kua mwanzo zilikuwa 5 au 6,kumbe ilikuwa ni kuwakumbusha tu watu.Sensa ya watu na makazi ilipangwa kwa siku 6 tarehe 23 mpaka 28 kisha sensa ya majengo kwa siku tatu kuanzia tarehe 29 mpaka 31 kisha tarehe 1 ni kukabidhi vifaa na malipo ya mwisho. Hizo 12 ni zipi?
Nimekusoma vyema kiongozi.Vipi kuhusu hizi siku za ziada kuhesabu watu mpaka tarehe 5? Je hapatakuwa na muingiliano wengine wakihesabu majengo huku wengine wakihesabu watu? Na pia siku hizo 4 za ziada yapo nje au ndani ya mkataba?Mkuu ulisoma mkataba vizuri, mkataba ulikuwa unaanza tar 21 mbaka tar 1 ambapo ni siku 12, sensa ya watu ni siku 7 yani tar 23 hadi 29, then 30,31 na 1 ni sensa ya majengo, siku ya kukabidhi vifaa haikuwa kwenye siku za mkataba. ,wengi walimnukuhu vibaya mama makinda alivyosema sensa ya watu itakuwa siku 7 wakajua kua mwanzo zilikuwa 5 au 6,kumbe ilikuwa ni kuwakumbusha tu watu.