Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

sasa itakuwaje sasa...kama hukupangiwa pengine pa kuhesabu...
 
Sensa ya watu na makazi ilipangwa kwa siku 6 tarehe 23 mpaka 28 kisha sensa ya majengo kwa siku tatu kuanzia tarehe 29 mpaka 31 kisha tarehe 1 ni kukabidhi vifaa na malipo ya mwisho. Hizo 12 ni zipi?
Mkuu ulisoma mkataba vizuri, mkataba ulikuwa unaanza tar 21 mbaka tar 1 ambapo ni siku 12, sensa ya watu ni siku 7 yani tar 23 hadi 29, then 30,31 na 1 ni sensa ya majengo, siku ya kukabidhi vifaa haikuwa kwenye siku za mkataba. ,wengi walimnukuhu vibaya mama makinda alivyosema sensa ya watu itakuwa siku 7 wakajua kua mwanzo zilikuwa 5 au 6,kumbe ilikuwa ni kuwakumbusha tu watu.
 
Nimekusoma vyema kiongozi.Vipi kuhusu hizi siku za ziada kuhesabu watu mpaka tarehe 5? Je hapatakuwa na muingiliano wengine wakihesabu majengo huku wengine wakihesabu watu? Na pia siku hizo 4 za ziada yapo nje au ndani ya mkataba?
 
Watanzania hatutabadilika never ever..!!
Mkataba uliosainiwa ulikua wa ck 12 (from 21 august to 1 Sept) na hzo ck zitakazoongezwa had tar 5 watatoa maelezo na cyo kwa makarani wote watahusika!!!
 
Back
Top Bottom