Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

ACHA upumbavu wa kutisha watu.. kamtishe mumeo mtu anadai haki yake unaleta ujinga, Kama hauwezi kudai haki yako basi ni wewe.
Haki inadaiwa kwa utaratibu kiongozi,jiingize kichwa kichwa na ww tutakushughulikie,kazi yetu sisi ni ndogo,vumilia utapewa haki yako serikali haijawahi rusha mtu.
 
Sipo kwa huo mchongo but kujaribu kumtisha mkuu hapo juu ni ujinga na haujielewi. Mbwa wewe.
 
Haki inadaiwa kwa utaratibu kiongozi,jiingize kichwa kichwa na ww tutakushughulikie,kazi yetu sisi ni ndogo,vumilia utapewa haki yako serikali haijawahi rusha mtu.
Kila siku tunasema huu siyo muda wa kumtisha mtu, Mjinga mkubwa wewe. Unafikiri wote humu dada zako ee.
 
Back
Top Bottom