Nafasi za kazi 500 kwa ajili ya KUPUCK laana kuwa maandishi ya kubadili viongozi

Nafasi za kazi 500 kwa ajili ya KUPUCK laana kuwa maandishi ya kubadili viongozi

Ukikagua account yake comments nyingi alizocomments jf zinaweza kusababisha mtu kupata malaria 😃😃😃
Hata mie technolojia ya magonjwa ishukuliwe unaweza ukajisumbua wakati jamaa anamajibu ya kila kitu!?
 
Nimepeda picha yako "SIJUI ULE MZIKI WALIKUWA ANAIMBAJE" ZILIBAMBA
Hii ikahusika Kwamba watawapa connection ya Kinga na kutoboa kibiashara majuzi wengine waliambiwa vyama vyao Nini mkuu wkt wote wanapost tu wakisema J2 Yuko kanisani amepiga magoti wakiomba kura wetu.
 
Dah
Mkuu. Tufafanulie yafuatayo

1. Jina la kampuni
2. Shughuli zake
3. Ofisi zilipo
4. Kila position weka job description
5. Usisahau anuani.

Vinginevyo tulia stimu ipoe uusome upya uzi wako na ukiuelewa tunakupa mke na zawadi ya rizzler
Kampuni ipo POSTA karibu na BOT ina zip code L8S145 MANUNGUNIKO YA UCHAGUZI MKUU VP UNAYAKUMBUKA NIMEHESABU KULA NIMESHINDA ILA KATANGAZWA MWINGINE... YAKIZIDI --- JF HUWA MALI FULL BAN
 
Kampuni ipo POSTA karibu na BOT ina zip code L8S145 MANUNGUNIKO YA UCHAGUZI MKUU VP UNAYAKUMBUKA NIMEHESABU KULA NIMESHINDA ILA KATANGAZWA MWINGINE... YAKIZIDI --- JF HUWA MALI FULL BAN
Leo huko ndani huku waasi wa Red na kuvuta vitu vyenye asili ya chuma mboga kutoka kwa Kibatala.
 
Daaaah, hii sio misemo au misamiati, kweli kiswahili ndiyo lugha mama ila mpaka hapa nimejitambua kuwa asili yangu nimetokea Rwanda hiyo niwaachie wazalamo wenye kiswahili chao. Sijaelewa chochote.
Nunguniko lingine hili: SIJUI KISWAHILI WANATAKA NIIMBE
 
Kampuni ya Punch company limited

Inatanganza nafasi 500 kwa wachumi, HR, ACCOUNTANT, WATU WA MASIJALA KWA AJILI YA KUPUNCH LAANA ZILIZOKO KWENYE JAMII MAANA UHURU HAWAKUTENGENEZA KITENGO CHA KUJIBU MANUNGUNIKO ya watu na badala yake yakawa laana... Mathalani:-

...... Mchawi sana/Freemason hatakiwi mtaani (bado anaendelea kuishi)

.... Kaniuzia Vitunguu/Nyanya zilizooza (akisikika akisema na yeye atakuwa hivyo hivyo)

.... Tunasoma hatuna kazi kwa muda mrefu

.... KUJUDGE MUVIE ZA MAUAJI (watu wanaojichulia kifo/kuwa wauwaji kwenye jamii)

na Mengineyo (ILA USISAHAU LAANA ZINATESA NA KUUWA JAPO NI JAMBO ZURI LA KUPAMBANIA)

Aidha, ni mapenzi ya BINTI KIZIWI HAYA SIJUI KAMA MIIMILI HAIJAONGEA KWA AJILI YA SPECIFICATION ZA MIILI YA WATU LAANA NUKSI (WANACHAFUA MIJI NA KUTUUZIA VITU VILIVYOOZA NA WANA MAPENZI YA KUFA NA KUOZA - WATOTO WAZURI HAWATAKIWI KUFIKIRI HATA SALAMU)

waweza tuma email yako kwenye email ifuatayo: laanazatanzaniatayari@gmail.com
We jama ni kabila gani aisee?
 
Back
Top Bottom