Duuh kwel ,sas na hzi leaving wanazotaka za nin wkt vyeti vipo jmn,wengn tunatembea na vyeti tu leaving tumeacha mbali huko.Sometimes wakiona waombaji ni wengi wanaweka tu sababu ya muhuri, ambao vyeti havina muhuri wanakaa pembeni kwanza. The n waliobaki wanajipima kwenye interview
mkuu kwema,tupe lonja afsaMkeka tarehe 28
😀😀 umemuita mwamba amalize shughulimkuu kwema,tupe lonja afsa
Vipi ,ulifanikiwa mpambanajiHuu uzi mpaka kieleweke wanangu naamini sote tutaondoka kama walioanza kuondoka
Tunasubiri usailiVipi ,ulifanikiwa mpambanaji
Poti Mfwende umeitwa? Nakuombea ufanikiwe.Wakuu
nimewafata huku, naomba model,sample na tips za usahili wa uhamiaji kwa wale waliofanya mwaka jana domu.
Thank u champ, naenda kufaiti domuPoti Mfwende umeitwa? Nakuombea ufanikiwe.
Ndio mkuuMonster kumbe wewe ndo Gpili
Sijafanikiwa adi leoVipi ,ulifanikiwa mpambanaji