Nafasi za Kazi Idara ya Uhamiaji Leo 11/12/2022

SaulGoodman

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2020
Posts
418
Reaction score
906
Habari zenu wandugu, naomba niende kwenye hoja Moja kwa Moja.

Idara ya Uhamiaji imetangaza nafasi za ajira 500 kwa vijana wa kitanzania wenye sifa na vigezo mbalimbali vya kitaaluma Leo tarehe 11/12/2022. Unaweza pitia attachments hapa chini kufahamu zaidi.

Lengo la Uzi huu ni kuweza kupata tips na hints namna ya kutuma maombi kwa usahihi pamoja na kufanya usahili wao kwa usahihi lakini pia itapendeza kama tutapata links za magroup ya mitandao ya kijamii kwa lengo la kupeana updates kuhusu mchakato na tips, Ahsanteni na karibuni.
 
Kati ya ajira ambazo ni ngumu kupata kama huna wakukubeba basi uhamiaji ni namba moja
 
Halafu mbna hawajaweka deadline Hawa Wala tareh iliotoka tangazo? Anaejua anijuze wadau
 
Kwa hiyo sisi walimu tumepigwa ndoige hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…