Daaah MT Leo tuliitwa kwenye interview lkn form six tumefukuzwa kama mbwaAtleast asee, ngoja tusubiri tuone na MT, UT, ZT
Dah, inatia hasiraDaaah MT Leo tuliitwa kwenye interview lkn form six tumefukuzwa kama mbwa
Hatari yaniDah, inatia hasira
vp fire wameshaitwa bro?Daaah MT Leo tuliitwa kwenye interview lkn form six tumefukuzwa kama mbwa
Imeisha iyoHivi namba za cheti za jkt zinafanana? Maana namba yangu jina la mtu mwingine au ndo washafanya yao
Ajiandae kukimbia vilima vyote vya moshi saa nane usiku🤣🤣🤣🤣Nimefurahi kwakweli kuliona jina la mdogo wangu ,,,,I love you police Tanzania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Degree walitaka vijana 115, lakin pale wapo 97 inamaana watu wa degree wote waliioomba wamepata na zikabakia nafasi kama nafasi 17 ....Mbona tangazo lao walitaka vijana 50 shahada?
Ushapigwa kakaHivi namba za cheti za jkt zinafanana? Maana namba yangu jina la mtu mwingine au ndo washafanya yao
Me nimekosa asee bongo bila connection kugumu sanaMimi nimekosaa wakubwa....ngoja tusubir kulikobakia
Sio kweli,mm namjua mtu kakosaDegree walitaka vijana 115, lakin pale wapo 97 inamaana watu wa degree wote waliioomba wamepata na zikabakia nafasi kama nafasi 17 ....
mbna kuna waliopata bila connMe nimekosa asee bongo bila connection kugumu sana