Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Rai:-
Huko CCP hakuna mambo ya kudoji ukiepa kipindi utafukuzwa kule hakuna mambo ya jkt kwamba ukidoji andaa nguvu.Ndugu zangu mukawe watiifu na mujipange.

Kuhusu minazi ukikamatwa unayeya.
C&P.
Ronja hizi kaniambia ndugu yangu mvaa kaki(polisi).
 
Sikuapply kitengo chcht Lakin naiman wakuu wa humu jamiiforums mpo baadhi yenu mliopita napenda kuwaasa ndugu zangu ukiwa uko pambania taifa lako na raia wenzako kamwe usimtese mnyonge kwakuwa ww umepata..

leo hii jeshi letu la polisi lonadharaulika kutokana na mambo wanayofanya binafsi naiman jamiiforums imewafunza mema na mazuri naombeni mkayaapply huko Ili kesho tusikie polisi fulani yupo vizuri..

Always tenda haki kwa wananchi Mungu atakupigania uje kuwa kiongozi mkubwa na mwenye Mapenzi makubwa kutoka kwa wananchi.

Mungu awabariki msije kimbia kozi kama ni machozi mtatoa na damu zitatoka kidogo ila pambaneni Mungu awe nanyi[emoji120]

NB:NINGEPENDA HUU UZI USIFE HILI TUPEANE SUPORT KWENYE ISHU NYINGINE AU AJIRA NYINGINE
 
Rai:-
Huko CCP hakuna mambo ya kudoji ukiepa kipindi utafukuzwa kule hakuna mambo ya jkt kwamba ukidoji andaa nguvu.Ndugu zangu mukawe watiifu na mujipange.

Kuhusu minazi ukikamatwa unayeya.
C&P.
Ronja hizi kaniambia ndugu yangu mvaa kaki(polisi).
Mkuu kwani huko ni full mazoezi au kuna kusoma darasani pia?
 
wale tulioomba nafasi za Fani tangazo la 2 ,majina vipi au ndio hayo hayo yaliyotoka leo,tuelewesheni vzr
 
Tulio bahatika kupata nafasi za kujiunga na jeshi la polisi tujuane...ndugu zangu

Hili tutengeneze undugu mapema hata KABLA ya kufika CCP🙏🙏
 
Nahisi kulikua na mnyukano hatari sana huko mana hata watoto wa vibopa wamekosa wazee wa kaunda suti hawataki mchezo asee
 
Back
Top Bottom