Bia Ya Moto
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,227
- 2,816
Ingia kwa kutulia usipanic refresh simu hiyo..Mbona kwenye website yao hayapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingia kwa kutulia usipanic refresh simu hiyo..Mbona kwenye website yao hayapo
Hata hvyo wameongeza tu mn walisema kuwa n 50 tu wanahitajikaShahada wamechukuliwa vijana 97 tu, vijana(wasomi) tujiajiri aisee!
Mkuu kwani huko ni full mazoezi au kuna kusoma darasani pia?Rai:-
Huko CCP hakuna mambo ya kudoji ukiepa kipindi utafukuzwa kule hakuna mambo ya jkt kwamba ukidoji andaa nguvu.Ndugu zangu mukawe watiifu na mujipange.
Kuhusu minazi ukikamatwa unayeya.
C&P.
Ronja hizi kaniambia ndugu yangu mvaa kaki(polisi).
wale tulioomba nafasi za Fani tangazo la 2 ,majina vipi au ndio hayo hayo yaliyotoka leo,tuelewesheni
Sema hawajafafanua kwenye tangazo laowale tulioomba nafasi za Fani tangazo la 2 ,majina vipi au ndio hayo hayo yaliyotoka leo,tuelewesheni vzr
Na Twyn tupeni mrejesho ndugu zetuGpili mazaga one vipi mmepata ndugu zangu, nitafurahi sana kusikia mmepata
Hahahahaha mbona unawaza watoto wa vibopa? Una wanao niniNahisi kulikua na mnyukano hatari sana huko mana hata watoto wa vibopa wamekosa wazee wa kaunda suti hawataki mchezo asee
Hongera kijana,mkapambaneTuchekiane mkuu
Daima nawaombeaAsante sana kaka kwa ushauri, tuombeane mkuu, tupo pamoja
Mbona tangazo lao walitaka vijana 50 shahada?Shahada wamechukuliwa vijana 97 tu, vijana(wasomi) tujiajiri aisee!
Kusoma darasani na mazoezi ya kutosha!Mkuu kwani huko ni full mazoezi au kuna kusoma darasani pia?
Sawa kiongoziTuchekiane mkuu
Daaaah sema sio mbaya nikukomaa tu blaaaad...nakujiongeza muhimuMimi nimekosaa wakubwa....ngoja tusubir kulikobakia