Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hivi namba za cheti za jkt zinafanana? Maana namba yangu jina la mtu mwingine au ndo washafanya yao
Force number au certificate number? Labda zimefanana ila ziko tofauti katika aina ya Operesheni.
Ila nje ya hapo kuna shida mahali.
 
Mnaosubiria tpdf huna connection ya uhakika utaisikia kwenye bomba hiyo bakabaka [emoji847]
 
Serikali itufikirie vijana kwa namna nyengine huku vyuma vimekaza watupe hata mikopo tujikwamue kibiashara
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]afande vipi tena si tulikubaliana kukata tamaa ni mwiko????au nasema uongo ndugu zangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
***** bongo nyoso [emoji18][emoji22]
 
Mama Samia wizara yako imetutema fanya utupe hata mikopo tujikwamue kibiashara huku mtaani kujiajiri bila mtaji haiwezekani
 
Noma sana...tusikate tamaa kaka magereza, uhamiaji na zimamoto mungu atajibu tu sehemu
Daah bi mkubwa wangu amefadhaika Sana mwenyewe alikuwa Dua nyingi kuhusu ili Jambo [emoji18].sema kila kitu rizk mungu bado ataendelea kuwa ila maafande wametuzungusha alafu kumbe walikuwa na watu wao
 
Vijana wenzangu msilalamika asee,haya mambo Huwa hayatabiriki.Kama Degree tulikuwa ni 600 na ushee na waliopenya ni 97 tu.Ujue kadri unavyokuwa na Elimu kubwa ndio kabisa kuajirika Ngumu.Serikali ilione hili Kwa jicho la kipekee.Mtaani ni kugumu balaa.
 
Mkuu vipi umepata ww
 
Najifariji labda jina langu ntalikuta PDF ya magereza au uhamiaji japo sijaomba [emoji22][emoji18]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…