Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nasikia huko ccp watu wanaenda kupimwa tena kwaiyo kuna wataorudishwa
 
Kama una connection subiri mapungufu yatakayo jitokeza kwa hao vijana baada ya kuripoti huko ccp maana lazima magepu yajazwe. Hapo kuna watovu wa nidhamu, wachelewaji, kuna ambao hawata kwenda kuripoti japo sio rahisi, na kuna vipimo vya afya. Hapa lazima nafasi zipatikane na lazima zizibwe.
Tunasubiri kwa hamu ..mwomba mungu hachoki
 
Dah niliomba nahisi nimepigwa chini
Jaman m naombeni ushauri niliomba zimamoto na wameniita kwenye usaili ila cheti cha jkt sina sasa nawaza sijui niende au nisipoteze mda wangu tu mn nilifanya km kubahatisha.
 
Jaman m naombeni ushauri niliomba zimamoto na wameniita kwenye usaili ila cheti cha jkt sina sasa nawaza sijui niende au nisipoteze mda wangu tu mn nilifanya km kubahatisha.
Nenda mkuu unaweza pata bahati yawezekana una vitu vya ziada unavyo
 
Sahv na deal na takukuru pamoja na tanapa huku nikisikilizia kupelea huko CCP "mwomba mungu hachoki"
 
Jamani cheti cha la saba ukiacha system inakubali..Ajira za takukuru
Nauliza jamani
 
Jaman m naombeni ushauri niliomba zimamoto na wameniita kwenye usaili ila cheti cha jkt sina sasa nawaza sijui niende au nisipoteze mda wangu tu mn nilifanya km kubahatisha.
Labda nafasi ni nyingi na waombaji walikia wachache eneo ilo mzee kawasikilizie
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] kesho , biashara wanatoa pdf
 
Back
Top Bottom