Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nasikia huko ccp watu wanaenda kupimwa tena kwaiyo kuna wataorudishwa
 
Tunasubiri kwa hamu ..mwomba mungu hachoki
 
Dah niliomba nahisi nimepigwa chini
Jaman m naombeni ushauri niliomba zimamoto na wameniita kwenye usaili ila cheti cha jkt sina sasa nawaza sijui niende au nisipoteze mda wangu tu mn nilifanya km kubahatisha.
 
Jaman m naombeni ushauri niliomba zimamoto na wameniita kwenye usaili ila cheti cha jkt sina sasa nawaza sijui niende au nisipoteze mda wangu tu mn nilifanya km kubahatisha.
Nenda mkuu unaweza pata bahati yawezekana una vitu vya ziada unavyo
 
Kuna kamsemo kinasema "mwomba mungu hachoki"
 
Sahv na deal na takukuru pamoja na tanapa huku nikisikilizia kupelea huko CCP "mwomba mungu hachoki"
 
Jamani cheti cha la saba ukiacha system inakubali..Ajira za takukuru
Nauliza jamani
 
Jaman m naombeni ushauri niliomba zimamoto na wameniita kwenye usaili ila cheti cha jkt sina sasa nawaza sijui niende au nisipoteze mda wangu tu mn nilifanya km kubahatisha.
Labda nafasi ni nyingi na waombaji walikia wachache eneo ilo mzee kawasikilizie
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] kesho , biashara wanatoa pdf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…