Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hivi takukuru husipokua na chet cha jkt system inakubali ku-submit application?
 
Anhaa, nimeziona pale zipo pia ingawa ni chache sana
Huenda walioomba n wachache cuz mujibu wengi wanaendaga vyuoni na ukicheki hzo nafasi ziliitaji maconstable sjui kama UT walihitaji wenye degree
 
Hakuna namba za special kwa ajili ya jkt mujibu wa sheria wala jkt kujitolea. Kinacho fanyika namba huwa inaendelea kutolewa pale inapo kuja operation mpya. Kinacho kuja kutofautisha ni cheti cha jkt. Yaani cheti cha mujibu wa sheria huwa kimeandikwa kabisa "mujibu wa sheria"
 
Sawa Kabisa hizo wanazoleta ilikuwa Ni porojo humu kuna watu wajuaji sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…