hosny diab
Member
- Oct 16, 2021
- 58
- 6
Sawa ndondocha mkuu [emoji23][emoji1787][emoji3]kwa wale wa magereza pdf inatoka tar 3/4 hyo ni sure 100% ,sasa sijui ni wa 4m4 tu au vp, source ni tulioaplai kwa level ya chet Tunduru tumeambiwa hvyo
Nicheki mkuuOiii tuliofanya usahili tarehe 30 polisi vipi mshaanza pigiwa simu au wanatoa mkeka?
Kwanini mzeeAiseee haya mambo haya inabdi mtu ukaoge maji ya bahari
kwa wale wa magereza pdf inatoka tar 3/4 hyo ni sure 100% ,sasa sijui ni wa 4m4 tu au vp, source ni tulioaplai kwa level ya chet Tunduru tumeambiwa hvyo
Sasa unashangaa watu 50 wanaohitajika kumi,Mimi nilienda kwenye usaili wa zimamoto watu 100 wanahitajika 8 mkoa mzima.Awe hatar watu 50 wanatak 10 tu
hapo mchaw urefu ,ufaulu,jkt au conn?Sasa unashangaa watu 50 wanaohitajika kumi,Mimi nilienda kwenye usaili wa zimamoto watu 100 wanahitajika 8 mkoa mzima.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Na umri pia mn hata km unezid miez miwili tu wanakutoa dadekihapo mchaw urefu ,ufaulu,jkt au conn?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbn tunaendaga utumishi watu 200 na wanatakiwa watu 2hapo mchaw urefu ,ufaulu,jkt au conn?
hapo mchaw urefu ,ufaulu,jkt au conn?
miaka mingpNa umri pia mn hata km unezid miez miwili tu wanakutoa dadeki
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Na umri pia mn hata km unezid miez miwili tu wanakutoa dadeki
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Hiyo ilikua usaili wilayani au mkoanSasa unashangaa watu 50 wanaohitajika kumi,Mimi nilienda kwenye usaili wa zimamoto watu 100 wanahitajika 8 mkoa mzima.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kwan na ufaulu wanaangalia firehapo mchaw urefu ,ufaulu,jkt au conn?
Huu ni watu wa zanziber au?Haya wazenji mzigo wa polisi huoooView attachment 1995960View attachment 1995961
Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
Kwahio ndo zile ajira 1000 zina kaa umo?
Hapo hawaja chujwa bado