Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hao wamepita mchujo wa awali, ko kuna mchujo mwingine

Nadhani usaili waliomaanisha huo wa awali ni kule kuwachambua waombaji .....lakini maana yake hao ndio wanaenda kwa ajili ya usaili ule kama vile huku bara inavokua
 
lonja

Usaili magereza wale wa taaluma ni dodoma utafanyika,,,watu wajiandae kwa gharama.....kuhusu majina sijui ni lini watatoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…