Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mumesikia ccp wengine 200 wamerudishwa sababu ya vyeti vyao havjakaa vizuri vnakasoro kumbe usaili hapa ulikuwa ujaishia hapa mpaka kule uliendelea ndyo washkaji wamerudi juz
 
Duuuh
 
Kuna sehem niliCOMMENT sema cjui ni Uzi huu au Mwingine ila CCP hawaamin vipimo vya sehemu nyingine yoyote ile hasa kipindi cha Mafunzo,
Kila kitu kinaanza upya,
Iwe Afya,vyeti nk.
Hata kama umebakisha mwez mmoja kumaliza ikibainika una tatzo lolote la kiafya au la kivyeti unaondolewa haraka iwezekanavyo
Mumesikia ccp wengine 200 wamerudishwa sababu ya vyeti vyao havjakaa vizuri vnakasoro kumbe usaili hapa ulikuwa ujaishia hapa mpaka kule uliendelea ndyo washkaji wamerudi juz
 
Heee watu 200
Bro natamani kusikia ukitoa kauli kuhusu waliokuwa maaskari wa Jwtz waliokamatwa na kesi ya Ugaidi apo mahakama Division ya uhujumu uchumu je jeshi lililizia wale Ex-soldiers wake wawe treated vile na Police?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Jeshi sio shirika la utangazaji la taifa
[emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ila uwa wanatangaza kwa watu special tu mwaka 2018 walitangaza ajira mbona lkn wale ni special ila kwa RTS awatangaza hata iweje...
 
Kwahiyo mkuu wanaweza kuchukua kimy kmy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…